Tabia Gani Uliyokuwa Nayo Utotoni Mpaka Leo Ukubwani Bado Unayo???

Dah JF Mna mambo,yani nimesoma huu uzi nikajichekea kwasabab na mi nna katabia kabaya ka Kunusa vikwapa! Dah hasa vya wanawake, wife/GF kashanifumania mara kibao, kasema kachoka.......nimeshindwa kuacha
 
duh. Mi nna tabia ya kunusa vitu aisee. Na nikivua nguo hata pichu lazma niinuse! Sometimes nanusa chakula, kijiko ama sahani. Na nna pua very sensitive kama sungura! Kama sahani ilikushwa na towel chafu naisikia. Sijui nna kichaa?

nafanana na wewe kila kitu katika hiyo tabia...sio ukichaa nimegundua siye tuna uwezo mkubwa sana wa kunusa sasa ishu inakuja pale tunapokutana na harufu zinazokera.
kwa mfano mie siwezi weka wali kwenye sahani yenye shombo ya samaki
 
Kama nimemuelewa mleta mada (yfu) alichouliza ni tabia ya utotoni mpaka sasa; My answer is ni kuwa ile tabia yangu ya utotoni sijaacha hata kidogo ila nimebadili tu siku hizi kwani tofauti na zamani siku hizi huwa naenda mwenyewe TOILET. Correct??:yo:
 
mi nilikuwa kulamba mafuta ya kula,mpaka leo bila kuongeza mafuta tena mabichi kwenye mboga yangu sijaona raha!hasa maharage dah!wanangu nahisi wameshanistukia!
 
King'asti bidada,
yani kuna watu wana tabia ya ajabu acha tu.
Kuna mkaka mmoja anaishi huku mitaa ya kwetu anapenda sana harufu ya Uke.
Hana tatizo lolote la Kiakili na ana familia yake nzuri tu.
Yani Wadada wanakoma nae,maana anaweza akakunywesha Pombe mpaka ukalewa,afu anachukua kitambaa anakufuta sirini afu anaondoka,
Hana historia ya Kubaka wanawake ila tabia yake ndo hyo tu.

hahahaha. Huyo ana kichaa. Mie nanusa kuona kama imechafukaje? Hata sijui kwa nini nafanya hivyo. But im just too careful na harufu ya nanihii, si ubajua kama ni dalili mojawapo ya matatizo? Na sio kamanapenda harufu, nitaikagua tu.
 
Last edited by a moderator:
Kama nimemuelewa mleta mada (yfu) alichouliza ni tabia ya utotoni mpaka sasa; My answer is ni kuwa ile tabia yangu ya utotoni sijaacha hata kidogo ila nimebadili tu siku hizi kwani tofauti na zamani siku hizi huwa naenda mwenyewe TOILET. Correct??:yo:

not correct. Ungekuwa bado unapelekwa toilet hapo ingekuwa valid for this topic.
 
nafanana na wewe kila kitu katika hiyo tabia...sio ukichaa nimegundua siye tuna uwezo mkubwa sana wa kunusa sasa ishu inakuja pale tunapokutana na harufu zinazokera.
kwa mfano mie siwezi weka wali kwenye sahani yenye shombo ya samaki
umeona eeh. Sasa nna tabia ya kunywa maji na sports bottle hata nikiwa home. Sasa ndo nile samaki, na kunywa maji. Afu nijaziwe maji mengine bila kuoshwa bottle vizuri na sabuni, naskia kutapika kabisa.
Kunusa nguo inanisaidia kujua harufu yangu ikoje leo. Kama deodorant ama perfume sio nzuri nitajua pia.
 
duh,pole inamaana hata ukienda 5* hotel huwa unanusa sahani?
sehemu ambayo nina hakika wana dishwasher wala siati taabu. Ila nikipewa chombo chenye maji maji natamani kuzirai. Ila bar na hotels za uswazi lazma ninuse, tena glass ndo ntasikia harufu ya bia au domo la last user.
 
hahahaha. Huyo ana kichaa. Mie nanusa kuona kama imechafukaje? Hata sijui kwa nini nafanya hivyo. But im just too careful na harufu ya nanihii, si ubajua kama ni dalili mojawapo ya matatizo? Na sio kamanapenda harufu, nitaikagua tu.

Unafikiri ana kichaa, basi tu ashuo lake.
Ila mwenzangu hvi hzi tabia huwa zinarithishwa kweli au ni katabia ka kukua nako?
Manake utakuta mtu anapenda kitu ambacho kwa mwengine ni lazima ushangae.
Hv hakunaga dawa?
 
Tabia ya kuonjaonja chakula kikiwa kwenye hatua za maandalizi. Sasa hivi nikijiandalia chakula, hadi kinaiva mie tayari nshashiba.

Zinduna unaitwa upeleke mtu mkoleni.
Tabia mbaya kuonja jikoni wewe!
 
Last edited by a moderator:
sehemu ambayo nina hakika wana dishwasher wala siati taabu. Ila nikipewa chombo chenye maji maji natamani kuzirai. Ila bar na hotels za uswazi lazma ninuse, tena glass ndo ntasikia harufu ya bia au domo la last user.

Nipe 5 King'asti.
Yani ukiweka pua tu unahs domo la mtu laivu.
Me ndomana zangu 'tarumbeta' basi.
 
Last edited by a moderator:
Unafikiri ana kichaa, basi tu ashuo lake.
Ila mwenzangu hvi hzi tabia huwa zinarithishwa kweli au ni katabia ka kukua nako?
Manake utakuta mtu anapenda kitu ambacho kwa mwengine ni lazima ushangae.
Hv hakunaga dawa?
ukiamua unaacha nadhani ila kwa mbinde. Mimi nikiwa mdogo nilikuwa nakula kucha. Nikawekewa wanted home hadi nikaacha. Rafiki yangu na wanae wote wanakula kucha. Nimemsema hadi ameacha manake ananitia kinyaa nahosi anatapakaza mimate yake kila mahali.
 
Back
Top Bottom