Taasisi zinazotoa mikopo ya elimu

Ze Expected

Member
Nov 24, 2013
22
1
kutokana na mkopo utolewao na HESLB hususani 'tuition fee' kutokidhi mahitaji halisi ya wanachuo tulio wengi na hii ni kutokana na hali halisi za famila zetu. basi yeyote anayejua VYANZO VINGINE iwe ni mashirika binafsi, taasisi za dini, n.k ....tafadhali atushirikishe.....tutangulize utu na MUNGU awabariki kwa mawazo mtakayotoa....asanteni.
 
LAPF kwa wanachama wao
 
Back
Top Bottom