Taasisi ipi inafundisha kozi ya GIS?

Mulangila Mukuru

JF-Expert Member
Feb 24, 2010
1,945
724
Wakuu naomba anayejua ni wapi kwa hapa TZ chuo gani wanafundisha kozi za GIS na gharama zake pamoja na muda wa kozi kama ni certificate au diploma kama itawezekana
 
Kuna chuo morogoro wanatoa--- jaribu kuongea na watu wa waliosomea mambo ya ardhi watakusaidia!
 
Wakuu naomba anayejua ni wapi kwa hapa TZ chuo gani wanafundisha kozi za GIS na gharama zake pamoja na muda wa kozi kama ni certificate au diploma kama itawezekana

pole sana mkuu,kuna tatizo linatupata wa Tz ,kuna kazi zinatanganzwa unakuta wanahitaji uwe na knowledge yakitu fulani ambacho unakuta kwenye jamii uliyopo hata sehemu ya kukipata ni shida.Back to your qn,hiyo GIS wengi waliyoisoma waliisoma kama somo tu kwenye course zao e.g watu wa Geograpgy and enviromental..(udsm)BAGEM wanafundishwa.Ila kupata sehemu ya kukufundisha GIS kama GIS alone inabidi utembelee vyuo wanavyofundisha geography and environmental courses may be they can help you.Otherwise kupata intro use the web at least ujue what GIS is hata ukienda kwenye interview uonekane una idea na GIS siyo lazima uwe expert.
 
Ardhi University wanatoa hiyo kozi kuanzia certificate, kuna kipindi ilikuwa inafundishwa na Dr. Elifuraha Mtalo, niliisoma kama option katika major course yangu. Hatahivyo. Kuhusu gharama na muda kwa full course sifahamu. Tembelea tovuti yao au kama uko Dar unaweza kwenda kuwaona face to face.
 
Kuna kitengo kabisa kinafundisha GIS pale Ardhi yunivaste, nenda kawaone utasoma na utaelemika.
 
Nafikiri Ardhi University wana hii kozi,pia hata SUA depertment ya Land Management Engineering nafikiri pia wanatoa kozi hii.Labda sijakuelewa kidogo is it unataka kusomea degree kabisa ya kozi hiyo au kozi fupifupi tu kwa issue specific vya GIS?
 
asante kwa ushauri mkuu nataka kuchukua kozi fupifupi tu kwa issue specific concerning GIS
 
Ardhi University wanatoa hiyo kozi kuanzia certificate, kuna kipindi ilikuwa inafundishwa na Dr. Elifuraha Mtalo, niliisoma kama option katika major course yangu. Hatahivyo. Kuhusu gharama na muda kwa full course sifahamu. Tembelea tovuti yao au kama uko Dar unaweza kwenda kuwaona face to face.

asante mkuu nitaifanyia follow up
 
pia nimeisoma kama kozi ninzu na technical subject . ila uwe na a, b ,c ya physics lasivyo utaichukia mkuku.
 
hapo ukitaka mambo yawe mazuri piga na kozi ya remote sensing kaka utakuma umeua. kwasababu hizikozi ni ndugu
 
ardhi university wana diploma in geoinfotrmatics wanatoa kwa miezi tisa with collaboration na ITC ya uholanzi..lakini pay yake ni ndefu like M4 hivi lakini ukimaliza unakua fiti sana,kuna wadau wangu wapo department of survey and mapping znz walisomea hapo hio course
 
sana tena sana,watu wa gis ni dili hapa mjini,ukiuliza watu wanaojua watakuambia..na ndio maana vyuo vingi vinaanzisha hizo course,hata university of bagamoyo wana diploma but gharama sijafuatilia,lakini ukweli gis and remote sensing zina dili sana
 
Back
Top Bottom