Taarifa za Rostam kuunga mkono CDM Arumeru zakupikwa; Slaa akanusha vikali

Status
Not open for further replies.
Hivi maneno haya haya angeyasema Zitto mngeyapokea vipi?
mkuu mkandara chadema ni vigumu sana kueleweka....mi naamini hata leo lowassapesa akija chadema na sera yake ya bomu la ajira chadema wote watamuunga bila kuhoji madhambi yake
ya nyuma.
 
Kweli siasa ni "UPU MBAVU MTU PU" Chadema siku zote walikuwa wanamtukana Rostam kwa ufisadi leo hii wanamshangilia kutembelea kambi. Never trust a politician ndo maana wanajidai eti in politics there is NO permanent friend neither permanent enemy.

kumbe hata wewe ni great thinker!
 
Kwa kile kinachoonekana kuwa Rostam Aziz ameanza kuhofia Chadema kushinda 2015, ameiunga mkono moja kwa moja katika uchaguzi Arumeru. Rostam alitembelea kambi sita za chadema katika kata mbalimbali. Huwezi kuyaamini maneno haya ya Rostam. Nanukuu:

"...ninachoomba kwa wananchi wa hili ni kuhakikisha wanamchagua mbunge mwenye uwezo wa kuzungumzia hoja za matatizo yao bungeni na sio kushawishi kuchagua chama kama ilivyo mazoea ya watanzania"

"Wagombea wote ni wazuri lakini ninawasihi wananchi wa Arumeru wachoke kudanganywa wajitahidi kuchagua tumaini la maisha yao, waondokana na kasumba ya kugawiwa vitu bure kwa ajili ya kuchagua chama fulani, ndio maana ikaitwa demokrasia.

Akizungumza na mwandishi wa gazeti hili kuhusu ujio wa Rostam, Dr Slaa alisema kitendo cha Rostam kutoa baraka kwa Nassari ni kutokana na kuzichoka siasa uchwara za CCM na kuzikubali siasa safi za Chadema.

Source.Dira ya Mtanzania.

My take, Rostam inaonekana anaiunga mkono chadema na nadhani anahofia itashinda 2015 hivyo ameanza kuwaunga mkono washindi tangia mwanzo

WanaJF,
upotoshwaji na uongo si mambo ya kuvumilia na si hulka yangu.
1. Mwandishi wa Dira hajazungumza nami labda kama kuna Dr Slaa mwingine.
2. Sina taarifa ya RA kutembelea makambi ya Chadema. Chadema tunajitosheleza hatuhitaji msaada wa Mafisadi.
 
Mjadala kwishaaaa.. Sasa naamini JF inabidi Moderators wapitiwe mara kwa mara mada hizi zinazoandishwa huku, maanake sintosema uongo nilianza kumshangaa Dr.Slaa. Na jamani msikae mbali kurekebisha habari kaa hizi..
- Samahani kamanda tulipotoshwa!
 
Asante kwa ufafanuzi
Hivi ndivyo nilivyosema...
Na gazeti lenyewe la kuripoti hayo ni Dira ya Mtanzania!. Leaves a lot to be desired!.

"I fear the Greeks, especially when they bring gifts!".
 
WanaJF,
upotoshwaji na uongo si mambo ya kuvumilia na si hulka yangu.
1. Mwandishi wa Dira hajazungumza nami labda kama kuna Dr Slaa mwingine.
2. Sina taarifa ya RA kutembelea makambi ya Chadema. Chadema tunajitosheleza hatuhitaji msaada wa Mafisadi.
Hapo Mkuu umenena kweli watu walishasema mengi hapa labda walikuwa wanapiga chaka waone kuna nini!!!! CHADEMA haihitaji mafisadi ndio maana watu wanajichangisha kufanikisha uchaguzi!!!! VIVA CDM VIVA MAKAMANDA WA CDM!!!!!
Mleta mada kaumbuka!!!!!!

Mjadala kwishaaaa.. Sasa naamini JF inabidi Moderators wapitiwe mara kwa mara mada hizi zinazoandishwa huku, maanake sintosema uongo nilianza kumshangaa Dr.Slaa. Na jamani msikae mbali kurekebisha habari kaa hizi..
- Samahani kamanda tulipotoshwa!
Mkuu Mkandara, nakubaliana na wewe modes need to do a bit more on moderations esp habari zilizokaa kimashaka mashaka!.

Next time mtu akija na post ya uzushi awajibike kuleta proof ya alipoisoma hiyo taarifa. In this case gazeti la Dira litafutwe to prove liliandika hayo vinginevyo mleta mada apatiwe haki yake!.
 
Kwa kile kinachoonekana kuwa Rostam Aziz ameanza kuhofia Chadema kushinda 2015, ameiunga mkono moja kwa moja katika uchaguzi Arumeru. Rostam alitembelea kambi sita za chadema katika kata mbalimbali. Huwezi kuyaamini maneno haya ya Rostam. Nanukuu:

"...ninachoomba kwa wananchi wa hili ni kuhakikisha wanamchagua mbunge mwenye uwezo wa kuzungumzia hoja za matatizo yao bungeni na sio kushawishi kuchagua chama kama ilivyo mazoea ya watanzania"

"Wagombea wote ni wazuri lakini ninawasihi wananchi wa Arumeru wachoke kudanganywa wajitahidi kuchagua tumaini la maisha yao, waondokana na kasumba ya kugawiwa vitu bure kwa ajili ya kuchagua chama fulani, ndio maana ikaitwa demokrasia.

Akizungumza na mwandishi wa gazeti hili kuhusu ujio wa Rostam, Dr Slaa alisema kitendo cha Rostam kutoa baraka kwa Nassari ni kutokana na kuzichoka siasa uchwara za CCM na kuzikubali siasa safi za Chadema.

Source.Dira ya Mtanzania.

My take, Rostam inaonekana anaiunga mkono chadema na nadhani anahofia itashinda 2015 hivyo ameanza kuwaunga mkono washindi tangia mwanzo

Rostam sasa yuko na JK,(katika plan zao za kumweka Migiro au Mzenji ili walindwe) vs Lowassa au? hii haisomeki vizuri..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom