Taarifa za Rostam kuunga mkono CDM Arumeru zakupikwa; Slaa akanusha vikali

Status
Not open for further replies.

ibange

JF-Expert Member
Dec 31, 2010
1,543
550
Kwa kile kinachoonekana kuwa Rostam Aziz ameanza kuhofia Chadema kushinda 2015, ameiunga mkono moja kwa moja katika uchaguzi Arumeru. Rostam alitembelea kambi sita za chadema katika kata mbalimbali. Huwezi kuyaamini maneno haya ya Rostam. Nanukuu:

"...ninachoomba kwa wananchi wa hili ni kuhakikisha wanamchagua mbunge mwenye uwezo wa kuzungumzia hoja za matatizo yao bungeni na sio kushawishi kuchagua chama kama ilivyo mazoea ya watanzania"

"Wagombea wote ni wazuri lakini ninawasihi wananchi wa Arumeru wachoke kudanganywa wajitahidi kuchagua tumaini la maisha yao, waondokana na kasumba ya kugawiwa vitu bure kwa ajili ya kuchagua chama fulani, ndio maana ikaitwa demokrasia.

Akizungumza na mwandishi wa gazeti hili kuhusu ujio wa Rostam, Dr Slaa alisema kitendo cha Rostam kutoa baraka kwa Nassari ni kutokana na kuzichoka siasa uchwara za CCM na kuzikubali siasa safi za Chadema.

Source.Dira ya Mtanzania.

My take, Rostam inaonekana anaiunga mkono chadema na nadhani anahofia itashinda 2015 hivyo ameanza kuwaunga mkono washindi tangia mwanzo

Dr. Slaa akanusha

WanaJF,
upotoshwaji na uongo si mambo ya kuvumilia na si hulka yangu.
1. Mwandishi wa Dira hajazungumza nami labda kama kuna Dr Slaa mwingine.
2. Sina taarifa ya RA kutembelea makambi ya Chadema. Chadema tunajitosheleza hatuhitaji msaada wa Mafisadi.
 
Akanushe naye kama Majimarefu ili picha zianze kumiminika! Ole Sendeka kanywea maana naye alitaka kuleta za Majimarefu kuukana ukweli, lakini kwa lile gazeti la Mwananchi la juzi, jamaa nasikia jongoo karudi mkiani!
 
MH! MBONA SIJAELEWA HUYO ROSTAM ALIFIKA LINI ARUMERU. NA HIYO DIRA YA MTANZANIA NI KIPINDI CHA RADIO,TV AU GAZETI! KAMA NI tv IPI KATI YA HIZI tbc,SIBUKA,C 10,ITV.CLOUDS,MLIMANI,C2C NK. AU KAMA NI rADIO PIA NI IPI?
 
haha,huyu jamaa ni mtu mmoja mwenye akili sana...na kwa harakaharaka unaweza sema kua ana waunga mkono chadema,ila ukweli ni kwamba anawarusha roho ccm!..na kwanini anawarusha roho?..ni kwasababu ccm ihofie jambo hilo,na ccm impitishe edward lowassa katika nec ya kuwania urais 2015!!...very simple..
 
Homework ya leo. Nani ana finance helicopter za CHADEMA?
wanachama wa CDM , kila mkutano linapitshwa kapu... nguvu ya uma ina fanya TUKU TUKU linakata mawingu... PEOPLE'ZZZZZZZZZZ power
 
Kwa kile kinachoonekana kuwa Rostam Aziz ameanza kuhofia Chadema kushinda 2015, ameiunga mkono moja kwa moja katika uchaguzi Arumeru. Rostam alitembelea kambi sita za chadema katika kata mbalimbali. Huwezi kuyaamini maneno haya ya Rostam. Nanukuu:

"...ninachoomba kwa wananchi wa hili ni kuhakikisha wanamchagua mbunge mwenye uwezo wa kuzungumzia hoja za matatizo yao bungeni na sio kushawishi kuchagua chama kama ilivyo mazoea ya watanzania"

"Wagombea wote ni wazuri lakini ninawasihi wananchi wa Arumeru wachoke kudanganywa wajitahidi kuchagua tumaini la maisha yao, waondokana na kasumba ya kugawiwa vitu bure kwa ajili ya kuchagua chama fulani, ndio maana ikaitwa demokrasia.

Akizungumza na mwandishi wa gazeti hili kuhusu ujio wa Rostam, Dr Slaa alisema kitendo cha Rostam kutoa baraka kwa Nassari ni kutokana na kuzichoka siasa uchwara za CCM na kuzikubali siasa safi za Chadema.

Source.Dira ya Mtanzania.

My take, Rostam inaonekana anaiunga mkono chadema na nadhani anahofia itashinda 2015 hivyo ameanza kuwaunga mkono washindi tangia mwanzo
nimeisoma hii habari mara zaidi ya 20 na nasita kuiamini. Kama ni ya kweli nami pia ninalazimika kubadilika!

lakini huyu bwana Rostam mpaka aje kubadilisha mawazo ya watu nia lazima aeleze ukweli wenye nguvu ya kumfanya kila Mtanzania aichukie ccm mbali na hapo, sidhani!!!!

ni jambola kawaida kwa waungwana,ile lulu iliokuwa ina ubiriwa na watnzania imebadirika angalieni msije uziwa kichupa
 
Homework ya leo.

Nani ana finance helicopter za CHADEMA?

hiyo haikuhusu chadema tuna helicopter zetu mbili na si za kukodisha,hongera nzee ndesamburo kwa kuona mbali.au unataka kutuanbia ni rostam??
 
hivi zile za picha za prof majimarefu akiwa kambi ya chedema naweza kuzipata humu jf?..msaada plz

kuhusu rostam msimwamini hata kidogo...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom