Taarifa za kiitelijinsia: Kazi ya polisi ni nini!

DASA

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
1,031
301
Mi nafikiri kazi ya polisi wanapopata hizi taarifa ambazo wanaita za kiitelijinsia ni kupambana na hizo taarifa sio kuzuia mikutano kufanyika maana huku ni kurudishana nyuma kwakweli.

Hawa polisi wetu ni mayai kiasi gani!!

Yani hata wakitishwa na nyembe, mkutano hautafanyika!!!.
 
Polisi wanafuga mbwa kufukuza wahalifu, wanasiasa wana ajili polisi kufukuza wapinzani hivyo hakuna tofauti kati ya polisi na mbwa kwani wote wanafanya kazi ya ulinzi.
 
Na kuomba rushwa!! Loh!

Usikute wameshaanza kuwaomba CDM rushwa ili wafanye mikutano!! Loh!
 
Kuwapiga risasi raia wema wenye kiasi kikubwa cha fedha mfukoni nakuwaua,wanaiba hela,kisha wanadai eti"turikuwa tunapambana na jambazi tukarishinda"
 
Mi nafikiri kazi ya polisi wanapopata hizi taarifa ambazo wanaita za kiitelijinsia ni kupambana na hizo taarifa sio kuzuia mikutano kufanyika maana huku ni kurudishana nyuma kwakweli.

Hawa polisi wetu ni mayai kiasi gani!!

Yani hata wakitishwa na nyembe, mkutano hautafanyika!!!.

Hizi taarifa za kiintelijesia huwa ni taarifa yoyote inayoonyesha kuingilia maslahi binafsi ya viongozi wa serikali.
 
Back
Top Bottom