TAARIFA: Yellow Fever Alert (Homa ya Manjano)

LUSAJO L.M.

JF-Expert Member
Aug 21, 2007
270
126
Shalom,

Kiambatanisho ni taarifa ya Wizara ya Afya ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kuhusiana na uhonjwa wa homa ya manjano na nini watalii wa nje na wa ndani wanatakiwa kufanya wakati wa kuingia Zanzibar.

Tusambaze taarifa kuepuka usumbufu kwa wale ambao tutakuwa na safari za Zanzibar hasa kipindi hiki cha tamasha la Sauti za Busara.

View attachment yellow fever1.pdf
 
Ujumbe umefika ila tayari boda ya Kagera umeshaingia toka Uganda baada ya kutokea Sudan. Kwa sasa ukifika Namanga kama unatoka Kwa Mwai lazima ukutane na sindano vinginevyo safari inaishia hapo. Yamenikuta mimi nikawa mbishi nawaambia mbona mie mtanzania na rudi home mnanizuia?? Nikalambwa sindano bila ubishi karibu robo tatu ya Dar Express nililokuwa nimepanda tulichomwa hiyo chanjo
 
thanx kwa taarifa zaidi.
 
Back
Top Bottom