Taarifa ya serikali juu ya mgomo wa madaktari

analysti

JF-Expert Member
Aug 24, 2009
729
612
Hivi ndivyo serikali ilivyouelezea mgomo wa Madaktari Bungeni

- Mgogoro ulianza baada ya madaktari wa mafunzo ya vitendo kugoma kwa jili ya kutaka malipo yao
- Serikali iliwapa malipo yao
- Lakini waliendelea na mgomo
- MAT iliingilia kati na kuendeleza mgomo
- MAT ikaunda kamati ya muda na kuendeleza mgomo

My Take
Taarifa imeegemea ktk kukandamiza madai ya msingi ya mgomo huo.
Serikali makini hujali watu wake na hutumia njia za hekima kutatua disputes zinazojitokeza kwenye jamii

 
Kwanini MAT waliendeleza mgomo?
Kwanini lisiongelewa suala la haki zao wanazodai?
 
- Mgogoro ulianza baada ya madaktari wa mafunzo ya vitendo kugoma kwa jili ya kutaka malipo yao
- Serikali iliwapa malipo yao
- Lakini waliendelea na mgomo
- MAT iliingilia kati na kuendeleza mgomo
- MAT ikaunda kamati ya muda na kuendeleza mgomo

Asante Analyst, keep us updated!.
 
bado hakuna cha maana anachoongea kuhusiana na mgomo huuu.
 
Anadai MAT ilitoa madai mapya, na wizara iliomba ikutane na viongozi wa MAT na kujadiliana nao kuhusu madai yao
 
Ivii..huyu waziri wa afya si ndio yule ambae aliesema interns sio madaktari,..ananichefua sana huyu jamaa
 
waziri anaongea huku akitetemeka, sijui ana ugonjwa wa mdondo!
 
Hakika waziri anaongea huku akitetemeka vibaya mno!!, Kwa maana J.Mnyika amewachana yeye na wenzake kuwa wanastahili kuwajibishwa
 
Hivi huyu wazir anasoma au anatoa kichwani hii hotuba? Mbona anatetemeka sana.... Duh anamlipua ulimboks aise... Kumbe ulimboka ni kishoka
 
Back
Top Bottom