Taarifa ya Nchimbi kwa wanahabari

Hii ndo barua ya waziri wa mambo ya ndani
 

Attachments

  • barua ya waziri kwa vyombo vya habari.jpg
    barua ya waziri kwa vyombo vya habari.jpg
    85.9 KB · Views: 71
So unaona Pacificus alifanya kitu sahihi?

I hope sio msimamo wa CCM ni wa kwako binafsi.

Interesting!

Hata hiyo taarifa hujaisoma vizuri, inasema ni uchunguzi wa awali, ikimaanisha uchunguzi bado haujakamilika.
 
I smell a rat, howcome serikali yenyewe ndio imeunda tume, alafu serikali hiyohiyo imeamua kupeleka kesi mahakamani kabla tume haijatoa report yake, something is fishing my fellow tanzanians!
 
Kwenye makosa ya jinai, kuna kitu kinaitwa conspiracy, yaani watu walioshirikiana, kutenda jinai, kwenye picha, wanaonekana polisi 7, wakimsulubu Mwangosi, na taarifa za mashuhuda, RPC Kamuhanga alikuwepo eneo la tukio, akitoa maelekezo ya namna ya utekelezaji wa operesheni hiyo, sasa iweje aletwe polisi mmoja mahakamani?! kwa nini akina Kamuhanga hawajuburuzwa mahakamani?? Hapa ndiyo unaweza kupata jibu, kwa nini mtuhumiwa kaletwa mahakamani na gari aina ya shangingi, na hao askari wamezuia kabisa kupata picha ya mtuhumiwa? Mkakati ni kutaka baada ya fulani waipotezee hiyo kesi, HUU NI UPEPO TU UTAPITA!!!
 
Akili za maccm zimekaa kimakengeza wala hupati shida kuwatambua.

Mkuu Mwita
Afadhali yetu CCM makengeza angalau tuna uwezo wa kuona kwa macho mawili tunawashangaa sana nyie chongo wenye jicho moja na vipofu mnapotaka kutuongoza njia!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Mimi naogopa hata kuchangia huu uzi kwa sababu jambo lipo mahakamani tayari. Kigumu kyama kya maulaji!! Nyinyiem oyeewe!!
 
Back
Top Bottom