Taarifa ya Nchimbi kwa wanahabari

sasa huyu nchimbi aliunda tume ya nini? mpuuzi sana huyu hajui hata anafanya nini.
 
Eti, aliyefyetua bombu lililoua amefikishwa mahakama. Kamati sasa inatafuta suluhisho la kudumu kwa ajili ya mahusiano mazuri kati ya poilisi upande mmoja, na waandishi na raia upande wa pili.

Hapa Nchimbi anaona kila kitu kimekwisha kwake! Lakini huyo muuaji hakuamua yeye kuua, alikuwa anatekeleza amri ya waliomtuma akiwemo Nchimbi mwenyewe. Tungetegemea wote kwanza waachie NGAZI, halafu ndio mengine yafuate. Huwezi kutafuta suluhisho, wakati wewe mwenyewe ni tatizo
 

Attachments

  • Capture.JPG
    Capture.JPG
    23.7 KB · Views: 24
hiyo attachement ya nchimbi kwa vyombo vya habari.

Hii haivurugi uchunguzi wa kamati aliyoteua?

attachment.php

hivi jamani kulingana na taarifa za viongozi wake wa juu si hairuhusiwi kujadili kitu kilichopo mahakamani? Au sheria zao ni kwa walalahoi tu
 
Uchunguzi wa kamati hauna maana tena kwasababu kesi imeshafikishwa mahakamani. Kwahiyo kulizungumzia swala hilo kwa namna yoyote ikiwa ni pamoja na kamati kutoa majibu yake na kuyatangaza hadharan kabla ya hukumu ya mahakama kutolewa itakuwa ni kuingilia uhuru wa mahakama.

Serikali ni kama imeshalizika jambo hilo tayari. Inaniuma sana!

Mkuu uko sahihi kabisa!! double standards, kwani Waziri alipokwa anateusa kamati hakujua kuwa jamaa atapelekwa mahakamani? yeye si ndi bosi wa mapolisi wote, ssa inakuwaje hii!! FAKE FAKE, kila kitu ni FAKE!!
 
KIUKWELI,KAMA INAVYOONEKANA NI KWAMBA HALI HALISI YA HILI TUKIO NI KWAMBA MHESHIMIWA WAZIRI ANAINGILIA ASICHOKIJUA,KIKUBWA NI HALI YA TUKIO NZIMA,NAULIZA RPC NA WENGINE WAKUBWA WAHUSIKA BADO WAKO BARABARANI.MSIMTOE MHANGA HUYO DOGO PEKEE.DARUBINI YA KWELI IBAINI HILO.:eek2:
 
Kwani aliye ua ni mmoja tu?
Maana walikuwa watu zaidi ya Wanne kwanini na wao wasifunguliwe Mashtaka? Kwani hakuna kosa la Kumpiga Muandishi wa habari? kwanini Nchimbi anakuwa Shallow hivi, kwahiyo inamaana wale wengine hawahusiki?
 
Uongo uongo tuu siwezi kuamini waziri muongo IGP muongo Raisi muongo hivi hawakuzaliwa na wanawake kutambua kwamba wanavuruga nchi hii na kuichana vipande vipande,changoja si alisema mwangosi alipigwa na kitu wakati anakimbilia kwenda kwa polisi kuomba msaada
Nchimbi kijana mdogo muongo umepaka matope safari yako ya kisiasa iga baadhi ya mawaziri wa kikwete ambao wanaona haya kuendekeza uongo
 
Ilibidi arudie kauli za baadhi ya askari hasa yule kamanda wa Iringa kuhusu kuipenda kazi yake hasa anapoelekea kustaafu, pia kauli za ALIPIGWA na kitu kilichorushwa kwa ninajiri ya kudhulu askari. Zerothe Steven kukataa kuhakiki kama askari walitoka Dodoma kwa ajiri ya zoezi hilo na ndio maana gari la Maji washa liliharibikia Iringa ila ni la Dodoma.

Tanzania sio hii niipendayo!
 
Je inakuwaje makamanda waliotoa amri za utekelezaji wa mauaji ya. Raia? Huyu askari ni funika kombe mwanaharamu spite. Huko liable kuwa held responsible wakati alikuwa anatekeleza sababu wake wa kazi.
Person anayetakiwa awe responsible ni Rpc na kamanda wa field force na si vinginevyo.
 
RPC alikuwa na nafasi kubwa sana ya kuzuia maafa hayo baada ya kuombwa na mwandishi wa habari lakini aligoma " LIWALO NA LIWE " sasa mbona hajaunganishwa kwenye kesi hii
 
Kwahio anataka tusilizungumzie tena? maana kasema hivyo kimtindo
 
Back
Top Bottom