Taarifa ya Nchimbi kwa wanahabari

Jiuzulu badala ya kujibaraguza huku na kule...Wewe, Mwema na Kamuhanda wote mnastahili mjiuzulu haraka sana.


Hawa makada wamelazimishwa kuandama? Mbona wanogopa hata kuziangalia kamera? Mwema ajiuzulu kwasababu ya kamanda mmoja tu?

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Hawa wapuuzi kwa kweli; wanataka tuamini kuwa tatizo la mauaji ya Mwangosi lilihusu askari mmoja tu.
Baada ya presha ya kutakiwa kujiuzulu IGP na Nchimbi sasa wametafuta njia ya mkato.
Kamati ya Ihema (tume aliyosema kabla ya kushtukiwa) ina kazi ya kuleta mahusiano baaasi! Kwamba kifo cha Mwangos ni tatizo la askari mmoja hata pale picha zinapoonyesha kuwa walikuwa zaidi ya watano wakimbana ili kumlipua.

Tulisema hili mapema sana na sasa tunaona upuuzi unavyotamalaki.
Hatuna sababu ya kushughulika na kruta tunapaswa kushughulika na Nchimbi na IGP. Bahati mbaya kipindi walichokuwa wanababaika tulikipoteza na sasa wamepata mahali pa kushika na kuziba midomo yetu, mahakamani.

Tusipofanya jambo wapuuzi wataendelea kutuchezea na kutulipua wakiandika taarifa za kijinga kama hiyo.
We must send a message!

Waandishi jitoeni katika kamati isyo na kazi ya Ihema, endeleeni kutusadia hadi Nchimbi na IGP waondoke. Ikishindikana basi mwenye dhamana yao awajibike.
 
Hawa wapuuzi kwa kweli; wanataka tuamini kuwa tatizo la mauaji ya Mwangosi lilihusu askari mmoja tu.

Kinachotafutwa ni issue iwe mahakamani tu ili isihojike/kujadilika tena. Utaona hata kwenye Press Release ya Nchimbi amesisitiza "Sasa tuuachie mkondo wa sheria ufanye kazi yake'.
 
Kinachotafutwa ni issue iwe mahakamani tu ili isihojike/kujadilika tena. Utaona hata kwenye Press Release ya Nchimbi amesisitiza "Sasa tuuachie mkondo wa sheria ufanye kazi yake'.
Kwasababu naye atakuwa salama na kazi yake. Funga watu midomo!
 
Hiyo attachement ya NCHIMBI kwa vyombo vya habari.

Hii haivurugi uchunguzi wa kamati aliyoteua?

attachment.php

si kulikuwa na vijana 32 walishikwa wakikimbilia mbeya? hawa mbona vigeugeu?
 
Aiseeee babaangu mbona naona giza imetanda machoni kwangu au ni mimi peke yangu ndio naona hivyo???
 
'Dr' Nchimbi,
Unayowafanyia watanzania sio sahihi. taarfa za hawali na hii uliyotoa sasa havina uwiano kabisa. mwanzoni taarifa zilionesha chadema ndo chanzo na ndo walioua. Leo taarifa za uchunguzi wako wa hawali ni bomu la machozi lililolipuliwa na askali. upande mwingine unasema uchunguzi unaedelea. busara zinanielekeza hay: uombe msamaha kwa taarifa za uongo na zinazochanganya ukweli na uongo; uwasimamishe kazi wote wanaohusika na tukio la mauaji -kama huwajui tazama picha za matukio. mshauli rais atoe tamko na kurahani mauaji hayo (yeye kama mkuu wa nchi) na mwisho acheni kabisa kuwafanya watanzania waonekane wajinga na mazezeta kwa propaganda za kipuhuzi kwa gharama ya maisha ya watanzania. ionekane 'in all times that the death of one tanzanian is too many'.
 
Nilikuwa nategemea mpaka sasa wauaji wa Mwangosi CHADEMA, Nchimbi awe amewaburuza kotini, nashangaa anasema wauji ni CHADEMA halafu anampeleka kotini Police wake. Viongozi wa CCM acheni propaganda.
 
Kuna mambo mimi sijaelewa kwenye taarifa
1. Ina maana yule mtaalamu wa mabomu ndio amegundua kuwa hilo ni bomu la machozi na sio kitu kizito?
2. Waziri ameagiza mtu apelekwe mahakamani ina maana asinge agiza nini kingetokea? Polisi hawakuona kuwa kuna kosa la jinai?
3. Ukiangalia picha marehemu alipigwa kwanza, hao waliopiga hawakutenda kosa la jinai? Katika mambo ya uchunguzi sio lazima marehemu alikufa kwa bomu unaweza kukuta alishauliwa kwa kipigo, bomu lilisambaratisha maiti tu!Ndio maana uchunguzi huru na wa hali ya juu wa mwili wa marehemu ulipaswa kufanyika kujua alikufa na nini. RIP Mwangosi
 
Aiseeee babaangu u uzi hupo humu janvini so kabla ujaweka uzi soma page zote acha uvivu
 
Aiseeee babaangu u uzi hupo humu janvini so kabla ujaweka uzi soma page zote acha uvivu wa kusoma
 
Back
Top Bottom