Taarifa ya Msiba...!

UPDATE 1:
Confirmed Freetown ataondoka leo huko ughaibuni mwendo wa saa 6 usiku ambapo itakuwa ni saa 10.za alfajiri kwa huko anakoishi, na anatarajiwa kuwasili JNIA mwendo wa saa 7.00mchana kwa ndege ya shirika la QATAR AIRWAYS.
Thanx PJ endelea kutupa taarifa na pia utatwambia ni jinsi gani tuweza kumfariji Mwenzetu!
 
.
Bingwa wetu Derimto,

Ni suggestion yenye akili, na Sahara anatangulia huko leo, then akifanya assesment tutaibuka na kauli ya kiume.
Pamoja mkuu.

Nimekusoma mtu wangu tuko pamoja tuambiane muda mwafaka then kama kawa na kundi letu
 
Pole sana rafiki yetu Freetown....Mungu akutangulie katika safari yako huko utokapo uweze kufika salama.....ni msiba unaouma sana lakini Mungu atakupa nguvu....
RIP Mrs Freetown
 
Mungu wa faraja na akutunze Bro na familia yote katika kipindi hiki kigumu!
 
Oooooh! My! Duh! Mkuu pole sana. Ngoja tufanye mchakato.

aksante mkuu.
Kwa mulio Dar, kama si shida ya foleni mnge'rush fasta pale JNIA kesho(11/02/2011) saa 7 MCHANA, then mngekaa nae hadi saa 11jioni akiwa anajiandaa kuondoka na PW ya saa 12 jion kuja KIA. @
Kama kuna watakaokuwa interested tutawapa namba yake ya cmu.
 
UPDATE 3:
Mazishi ya shemeji yetu yatafanyika huko Njombe-IRINGA, ambako ndiko nyumbani kwao Ftown, na hata shemeji ye2 pia.
Uwezekano wa kuanza safari huku Arusha kuelekea makazi ya kudumu ya marehemu ni siku ya Jumamosi, au juma2.
 
Kha!!!!!!!!! i see poleni sana wakuu.
Uliza Njombe sehemu gani? Ramadhani au Chaugingi au Kihesa?
 
Mungu wangu!nimeshtuka karibia kutoa machozi.moyo umeniuma aisee,mara ya mwisho kuonana na Freetown alinionyesha picha za familia yake wakiwa na furaha sana.nimeumia sana,na namuomba Mungu ampe FT moyo wa subra na ailaze pema roho ya marehemu .Amen
 
aksante mkuu.
Kwa mulio Dar, kama si shida ya foleni mnge'rush fasta pale JNIA kesho saa 7 MCHANA, then mngekaa nae hadi saa 11jioni akiwa anajiandaa kuondoka na PW ya saa 12 jion kuja KIA. @
Kama kuna watakaokuwa interested tutawapa namba yake ya cmu.

Nawashukuru wote mlio nami katika wakati huu mgumu sana kwangu, nawashukuru sana, PJ flight yangu itachelewa kwa two hours hivyo sitawahi connection, nitalala Doha-Qatar. nitaingia Dar ijumaa saa saba na nusu kwa mapenzi ya Mungu.
 
UPDATE 3:
Mazishi ya shemeji yetu yatafanyika huko Njombe-IRINGA, ambako ndiko nyumbani kwao Ftown, na hata shemeji ye2 pia.
Uwezekano wa kuanza safari huku Arusha kuelekea makazi ya kudumu ya marehemu ni siku ya Jumamosi, au juma2.

PJ tunaomba more info wapi kwa FT? ibada ya mazishi itakuwa kanisa gani some of us are living in Arusha and we would like to attend. thanks
 
Back
Top Bottom