Taarifa ya Mhe. Freeman Aikaeli Mbowe kuhusu madai ya NHC

"""ni heri kufa masikini nikiwa nimesimamia UKWELI, kuliko kuishi tajiri niliyetawaliwa na UBINAFSI, woga, hofu na ubatili"""

Nyie nyie jamani, wanasiasa saa nyingine wamwogope Mungu...

anawadanganya akina BEN ,yereko wakati JUZI JUZI KIPINDI CHA UCHAGUZI AMEPOKEA 3M usd kutoka kwa LOWASA na kuzikimbiza DUBAY si achukue tu hapo ka 1bl alipa mambo yaishe
 
TAARIFA YA MHE. FREEMAN AIKAELI MBOWE KUHUSU MADAI YA NHC.

Nimepata taarifa ya mkutano wa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) na Waandishi wa habari kuhusu kilichoitwa "wadaiwa sugu" wa NHC ambapo katika orodha hiyo kampuni ambayo nina hisa ya Mbowe Hotels Co.Ltd imeorodheshwa kama mdaiwa anayedaiwa zaidi ya Shilingi Bilioni moja.

Nakiri kuwepo kwa mgogoro wa kibiashara wa miaka mingi baina ya Kampuni hii na NHC. Aidha kampuni hii imekuwa ikilipa kodi stahiki kwa NHC kwa mujibu wa makubaliano yetu ya kibiashara.

Kumekuwepo na ukakasi wa muda mrefu kuhusiana na mkataba wetu wa umiliki, uendelezaji na uendeshaji wa jengo hili unaochagizwa na msimamo wangu wa kisiasa.

Haki na Uhuru wetu wa kufanya biashara kama raia wengine umekuwa ukiingiliwa mara kwa mara katika mazingira yanayoambatana na Vitisho kiasi ambacho Maamuzi kadhaa hayafanyiki kwa hofu ya kisiasa kwamba "Itakuwa kumwongezea nguvu Mpinzani".

Hivyo, ningependa umma wa Watanzania uelewe kuwa sidaiwi na Shirika la Nyumba la Taifa(NHC).

Kufuatia utata huu wanasheria wa Kampuni wanashughulikia jambo hili kwa taratibu za kibiashara na kisheria.

Naomba kuweka wazi kwa yeyote anayehusika. Sitafungwa fikra, sitafungwa mdomo na sitaacha kuutetea Ukweli, Haki na Demokrasia katika nchi hii kwa misingi ya "kulinda kinachodhaniwa ni maslahi yangu ya kibiashara".

Wafanyabiashara wengi wanafungwa fikra na midomo ndani ya nchi hii kwa kuogopa hila na ghiliba za watawala.

Ni heri kufa masikini nikiwa nimesimamia ukweli, kuliko kuishi tajiri niliyetawaliwa na ubinafsi, woga, hofu na ubatili.

Natambua kuna jitihada za kutumia kila silaha na kila hila dhidi yetu katika Kipindi hiki.

Mwisho, Natoa rai kwa wanachama na wapenzi wa Haki katika Taifa hili, wasiogope. Haki itaweza kucheleweshwa kwa muda tu, lakini kamwe haiwezi kuzuiwa. Binadamu akikufungia mlango Mungu wa Haki atakufungulia dirisha.

Ubatili ni wa mpito lakini Haki ni ya milele.

Imetolewa

Leo Jumatano Agosti 24,2016 Na:

Freeman Aikaeli Mbowe

Mfanyabiashara.
Huyu Mbowe naye, mbona hata simuelewi. Anakanusha hadaiwi na kudai ni 'mgogoro' tu wa kibiashara. Anatoa kauli kwa lengo la kufafanua lakini anaishia kuongea mambo kiujumla jumla bila ya kufafanua lolote lile na badala yake anaishia kulalanika tu.
Sioni kama amefanikiwa kfafanua lolote hapo!!
 
Ila ana deni anatakiwa kulilipa

mbowe ni mmoja wa walionufaika na CCM KIPINDI CHA 1995 na kuendelea maana ndiko alikoanzia maisha ya KISIASA, isingekuwa ccm asingeweza kumiliki hiyo bilicana , na amemiliki tu kwa mgongo wa dilidili , na ndio maana anataka kulipa KODI ya miaka ya 77 wakati sasa ni 2016
 
Mkuu acha kuwahadaa watu wewe nchi hii inasiri nzito za watu kama nyinyi idara za usalam na vyombo vyake vimewasititri sana aina ya watu kama wewe hivyo ni bora ukakaa kimya kuliko kumtupa jongoo na mti wake kila mtu atakucheka. watu wakiamua kufunguwa majalada ya biashara na kodi mnakwepa ni aibu ukienda upande wapili vile mnaihujumu serikali ni aibu bora kukaa kimya kuliko kusema wakati watu wano ukweli kwenye majalada.....
Na wasiwasi kama unaelewa unachokisema, hivi unaelewa kuwa wafanyabiashara almost 99% wamejificha chama kikuu ili kukwepa kodi na mkono wa sheria? Au umeamua kutoka povu tu..
Njaa isikutoe fikra
 
NHC ni jengo la Umma.Kwanini Watawala wanataka kutumia kama mali binafsi kwa ajili ya kukomoa ,kuzusha,kuchafua na hila kibao dhidi ya Raia wengine kisa tofauti ya itikadi?
Mwambie aweke wazi huo mgogoro wa muda mrefu ndo aeleweke
 
MHE. FREEMAN MBOWE AJIBU MKURUGENZI NHC KUHUSU MADAI YA KUDAIWA, ASEMA 'HAWAMDAI'

Nimepata taarifa ya mkutano wa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) na Waandishi wa habari kuhusu kilichoitwa "wadaiwa sugu" wa NHC ambapo katika orodha hiyo kampuni ambayo nina hisa ya Mbowe Hotels Co.Ltd imeorodheshwa kama mdaiwa anayedaiwa zaidi ya Shilingi Bilioni moja.

Nakiri kuwepo kwa mgogoro wa kibiashara wa miaka mingi baina ya Kampuni hii na NHC. Aidha kampuni hii imekuwa ikilipa kodi stahiki kwa NHC kwa mujibu wa makubaliano yetu ya kibiashara.

Kumekuwepo na ukakasi wa muda mrefu kuhusiana na mkataba wetu wa umiliki, uendelezaji na uendeshaji wa jengo hili unaochagizwa na msimamo wangu wa kisiasa.

Haki na Uhuru wetu wa kufanya biashara kama raia wengine umekuwa ukiingiliwa mara kwa mara katika mazingira yanayoambatana na Vitisho kiasi ambacho Maamuzi kadhaa hayafanyiki kwa hofu ya kisiasa kwamba "Itakuwa kumwongezea nguvu Mpinzani".

Hivyo, ningependa umma wa Watanzania uelewe kuwa sidaiwi na Shirika la Nyumba la Taifa(NHC).

Kufuatia utata huu wanasheria wa Kampuni wanashughulikia jambo hili kwa taratibu za kibiashara na kisheria.

Naomba kuweka wazi kwa yeyote anayehusika. Sitafungwa fikra, sitafungwa mdomo na sitaacha kuutetea Ukweli, Haki na Demokrasia katika nchi hii kwa misingi ya "kulinda kinachodhaniwa ni maslahi yangu ya kibiashara".

Wafanyabiashara wengi wanafungwa fikra na midomo ndani ya nchi hii kwa kuogopa hila na ghiliba za watawala.

Ni heri kufa masikini nikiwa nimesimamia ukweli, kuliko kuishi tajiri niliyetawaliwa na ubinafsi, woga, hofu na ubatili.

Natambua kuna jitihada za kutumia kila silaha na kila hila dhidi yetu katika Kipindi hiki.

Mwisho, Natoa rai kwa wanachama na wapenzi wa Haki katika Taifa hili, wasiogope. Haki itaweza kucheleweshwa kwa muda tu, lakini kamwe haiwezi kuzuiwa. Binadamu akikufungia mlango Mungu wa Haki atakufungulia dirisha.

Ubatili ni wa mpito lakini Haki ni ya milele.

Imetolewa
Jumatano Agosti 24, 2016
Na: Freeman Aikaeli Mbowe
Mfanyabiashara.
 
TAARIFA YA MBOWE KUHUSU KUDAIWA NA NHC

Nimepata taarifa ya mkutano wa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) na Waandishi wa habari kuhusu kilichoitwa "wadaiwa sugu" wa NHC ambapo katika orodha hiyo kampuni ambayo nina hisa ya Mbowe Hotels Co.Ltd imeorodheshwa kama mdaiwa anayedaiwa zaidi ya Shilingi Bilioni moja.
Nakiri kuwepo kwa mgogoro wa kibiashara wa miaka mingi baina ya Kampuni hii na NHC. Aidha kampuni hii imekuwa ikilipa kodi stahiki kwa NHC kwa mujibu wa makubaliano yetu ya kibiashara.
Kumekuwepo na ukakasi wa muda mrefu kuhusiana na mkataba wetu wa umiliki, uendelezaji na uendeshaji wa jengo hili unaochagizwa na msimamo wangu wa kisiasa.
Haki na Uhuru wetu wa kufanya biashara kama raia wengine umekuwa ukiingiliwa mara kwa mara katika mazingira yanayoambatana na Vitisho kiasi ambacho Maamuzi kadhaa hayafanyiki kwa hofu ya kisiasa kwamba "Itakuwa kumwongezea nguvu Mpinzani".
Hivyo, ningependa umma wa Watanzania uelewe kuwa sidaiwi na Shirika la Nyumba la Taifa(NHC).
Kufuatia utata huu wanasheria wa Kampuni wanashughulikia jambo hili kwa taratibu za kibiashara na kisheria.
Naomba kuweka wazi kwa yeyote anayehusika. Sitafungwa fikra, sitafungwa mdomo na sitaacha kuutetea Ukweli, Haki na Demokrasia katika nchi hii kwa misingi ya "kulinda kinachodhaniwa ni maslahi yangu ya kibiashara".
Wafanyabiashara wengi wanafungwa fikra na midomo ndani ya nchi hii kwa kuogopa hila na ghiliba za watawala.
Ni heri kufa masikini nikiwa nimesimamia ukweli, kuliko kuishi tajiri niliyetawaliwa na ubinafsi, woga, hofu na ubatili.
Natambua kuna jitihada za kutumia kila silaha na kila hila dhidi yetu katika Kipindi hiki.
Mwisho, Natoa rai kwa wanachama na wapenzi wa Haki katika Taifa hili, wasiogope. Haki itaweza kucheleweshwa kwa muda tu, lakini kamwe haiwezi kuzuiwa.
Binadamu akikufungia mlango Mungu wa Haki atakufungulia dirisha.
Ubatili ni wa mpito lakini Haki ni ya milele.

Imetolewa
Leo Jumatano Agosti 24,2016 Na:
Freeman Aikaeli Mbowe
 
Hii taarifa tayari imo mahali humu jf! .

Pole sana Freeman Aikaeli Mbowe, karma is the one and only law of justice! . Kama kilichofanyika sio matokeo ya karma kwako, then karma itamshukia Mchechu!, sooner than expected! .

Pasco
 
0

Mkuu thats low!
Mtu anafanya kosa hakafu unamuombea dua mbaya polisi aliyetumwa kukukamata!

Mi sijui kwa nini watu mnashindwa kuelewa kuwa NHC ni shirika la serikali.
 
Kupatwa kwa mbowe nilipe nisepe.hakuna janja janja tens kwa magu kila kitu wazi.
 
Back
Top Bottom