Taarifa ya kutengua ndoa kati ya manoah na ciello

hehehehe ngoja nichukue maufundi siku nikimpata MENTION elizabeth MENTION nijue pakuanzia.kumbe waweza nyan'ganywa tonge mdomonie
 
Nilisemaaaaa! FUPA lililomshinda fisi mbwa haliweziii katu! Haya shosti karibu tulichune babu langu COMMUNIST The Boss!!! Lina ngozi ya ALIGATOR hadi ulimwagie Acid na maji ya moto ndo utaabulia magamba!!!!!
 
Last edited by a moderator:

shosti haya mambo yamenishinda wacha nikae pembeni cyo lazima wote 2imbe, kila la kher na the communist wako...
 
Last edited by a moderator:
Baba V kazi na Erickb52 imekuwa ngumu sana, Erickb52 anataka kuchukua nafasi ya Asprin,
naona tuwaache wale wanandoa wanaotaka kufanyiana
majaribio waendelee, bila kumsahamu muuza ubuyu naye
aendelee na ule mpango wake wa kuhalalisha nyumba ya baba yake@King'asti na Cantalisia. Vinginevyo uunde kamati nyingine.
 
Last edited by a moderator:
The Boss usiwape hata senti, wakomoage hivyo hivyo,kama mahela ya kutumia yapo, utakula, utakunywa, utapata usafiri unaoutaka upo, sema wewe tu.

Nilisemaaaaa! FUPA lililomshinda fisi mbwa haliweziii katu! Haya shosti karibu tulichune babu langu COMMUNIST The Boss!!! Lina ngozi ya ALIGATOR hadi ulimwagie Acid na maji ya moto ndo utaabulia magamba!!!!!
 
Last edited by a moderator:
hehehehe ngoja nichukue maufundi siku nikimpata MENTION elizabeth MENTION nijue pakuanzia.kumbe waweza nyan'ganywa tonge mdomonie

mkiva mbona unakuwa mgumu kuelewa? kuna siku mtu alikuelekeza jînsi ya ku-mention jina la mtu lakin bdo hujaelewa.duh mbona mwl wako alikuwa na kazi? haya naminakufundisha. mf.nakumention wewe. unainsert symbol hii @ mkiva, ila hauachi space kama mie. then unaandika jina la mtu kwa ufasaha ukizingatia small/capital letter kama zipo! haya jaribu
 
Last edited by a moderator:
Baba V kazi na Erickb52 imekuwa ngumu sana, Erickb52 anataka kuchukua nafasi ya Asprin,
naona tuwaache wale wanandoa wanaotaka kufanyiana
majaribio waendelee, bila kumsahamu muuza ubuyu naye
aendelee na ule mpango wake wa kuhalalisha nyumba ya baba yake@King'asti na Cantalisia. Vinginevyo uunde kamati nyingine.

Nimekusoma Mamndenyi, kwanza nikupongeze kwa kazi yako nzuri ambayo umekuwa ukiifanya, ni kweli Erickb52 anaonekana hajielewi na hatambui majukumu yake, juzi kati badala ya kufanya kile anachopaswa kukifanya kwenye kamati nae kajiingiza kwenye kinyang'anyiro na akina Mtambuzi , na manoah kumgombea Ciello na bila hata kutangaza mgongano wa kimaslahi hivyo hata kama wangekuja kwenye screening ni dhahiri asingetenda haki, na nimeshapata ripoti ya alichokifanya mwanza, usijali ntafanya maamuzi magumu hivi punde. Endelea na kazi kwa kipindi hiki
 
Last edited by a moderator:
Baba V nimependa ulivyonielewa vizuri,
ok mi ntaendelea na kazi utakaponipa support
na ikiwezekana awe The Boss.

Nimekusoma Mamndenyi, kwanza nikupongeze kwa kazi yako nzuri ambayo umekuwa ukiifanya, ni kweli Erickb52 anaonekana hajielewi na hatambui majukumu yake, juzi kati badala ya kufanya kile anachopaswa kukifanya kwenye kamati nae kajiingiza kwenye kinyang'anyiro na akina Mtambuzi , na manoah kumgombea Ciello na bila hata kutangaza mgongano wa kimaslahi hivyo hata kama wangekuja kwenye screening ni dhahiri asingetenda haki, na nimeshapata ripoti ya alichokifanya mwanza, usijali ntafanya maamuzi magumu hivi punde. Endelea na kazi kwa kipindi hiki
 
Last edited by a moderator:
hata mm nilishangaa sana manake hatuja mfunda Ciello. snowhite cacico, sweetlady na FP sote tumebak vinywa waazi lolest! hebu kwanza apitie ukaguzi wa Asprin kisha aje tumwandalie mkole tumfunde huyu.
hamwoni mwenzie Madame B anasubiria ndoa yake na Ruttashobolwa mwez ujao? na vikao ninakaa chini ya mwenyekiti @figganiga?
Ahsante kwa kuyajali maslahi yangu na ya mila na desturi zetu waafrika...

Popote ulipo Ciello hebu come this way..... without please!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom