Taarifa ya kutengua ndoa kati ya manoah na ciello

jaman kutwa nimeshinda ndani nalia naomba mniache nijiponye hili jeraha, kwasasa nataka kuwa singo kwa muda nikijipanga so bwana manoah naomba u move on na maisha yako na wengine naomba msahau kama niliwah olewa nataka kuanza upya! Plz msinikumbushe machungu.
Lol! mwanamke wewe......
 
Makuuubwa! Madogo yana wenyewe!
snowhite hebu njoo hapa uniambie hili timbwili, kwani imekuwaje! Mziki wa fungate umekuwa mkali sana ama?
jaman kutwa nimeshinda ndani nalia naomba mniache nijiponye hili jeraha, kwasasa nataka kuwa singo kwa muda nikijipanga so bwana manoah naomba u move on na maisha yako na wengine naomba msahau kama niliwah olewa nataka kuanza upya! Plz msinikumbushe machungu.
 
Last edited by a moderator:
mimi kesi zangu huwa haziishi yani ugomvi wangu nikiondoka namuachia mtu anishikie!we umelikoroga na huyo bi harusi wako lazima ulinywe na hapa timu yangu haijatimia! mwaJ, Kipipi, Madame B, King'asti hebu kujeni kipande hii kuna mtu kaingia kwenye anga zangu anamtetea Ciello,enh Ciello yule yule aliyekuwa na babake King'asti juzi usiku maeneo ya ubungo wakijiandaa kwenda nash...namnani!

Best snowhite mie nipo ninasikilizia kwa ukaribu. Huyo manoah akiendelea kukusumbua na maneno maneno yasiyoisha niite ili tumuanzishie zengwe kwa Ciello. Si unakumbuka tulichomfanyia Mtambuzi mpaka Ciello akammwaga bila huruma?
 
Last edited by a moderator:
jaman kutwa nimeshinda ndani nalia naomba mniache nijiponye hili jeraha, kwasasa nataka kuwa singo kwa muda nikijipanga so bwana manoah naomba u move on na maisha yako na wengine naomba msahau kama niliwah olewa nataka kuanza upya! Plz msinikumbushe machungu.
Ciello jamani! We vipi? Jana tu umemmwaga Mtambuzi kwa sababu ya ubahili wake na usumbufu toka kwa wanae. Sasa tena unamwambia manoah a move on unataka kuwa singo! Duh! Kweli bora utulie kwa muda uangalie upepo unaendaje.
 
We mwaJ kuna thread humu kaianzisha manoah ana apologize kwa lara 1 na analalamika eti Ciello ndo alimganda kama luba, wakati huohuo kwenye hii thread ameomba nimpe utaratibu wa kufuata ili waoane na Ciello, kifupi manoah anahitaji kupepewa!!!
 
Kwa kweli hawa watu wawili wanachanganya! Baada ya Ciello kummwaga Mtambuzi tu nikashangaa kutangazwa kwa ndoa yake na manoah. Mara kishatangaza tena anataka kuwa singo. Bora tu manoah amuombe msamaha lara 1 na asirudie tena kuacha mbachao kwa msala upitao.
 
Last edited by a moderator:
Jamani tumuonee huruma mzee mwenzetu Mtambuzi. Si mnajua ana mzazi? Apatiwe smolu hauz. Au siyo Baba V?

Tatizo kazidi huyu, juzi kati kalala nje kasingizia alitekwa pamoja na yule sheikh wa uamusha, jana usiku kaonekana dirishani kwa watu akiwa na.mtu mwingine, yaani kazidi haoni kuwa wanae akina King'asti wamekua afanye kwa kujificha, ye ndo anajiachia tena kwa kuchukua shoga za wanawe
 
Last edited by a moderator:
Kwa kweli hawa watu wawili wanachanganya! Baada ya Ciello kummwaga Mtambuzi tu nikashangaa kutangazwa kwa ndoa yake na manoah. Mara kishatangaza tena anataka kuwa singo. Bora tu manoah amuombe msamaha lara 1 na asirudie tena kuacha mbachao kwa msala upitao.

Tatizo manoah bado haeleweki hadi sasa ana msimamo gani, sijui ndo kuchanganyikiwa!!???
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom