Taarifa Ya Kuhani Msiba Kwa Dada JS

ooohh pole js... inshallah allah ampe kauli thabit marhum...(ina lillah waina ilayh raj uun...)
 
Pole sana MwanaJF - JS kwa msiba huo. Mpeni pole nyote mtakaokutana "palepale" kwa muda "uleule". ANGALIZO: Kuna wengi wenu hawapajui "palepale" kama Pearl, Darlingtone, Paka n.k.huenda wakapotea na wasifike kwa muda "uleule". Poleni sana wapendwa. May the almighty God RIP his Soul in Eternal life!! Amen
 
Mkuu Teamo,
Inavyoonekana watu wengi hapa hatukuwa na tahaarifa hizo za msiba,n huyu akiwa kama mwenzetu na ndugu yetu wa karibu naamini anasoma haya maelezo hapa,je inawezekana tujipange ili walau na ss tujumuike ktk kumfariji mwenzetu kwa ppamoja?Kama ndio basi tupange siku maalum ili tuweze kufanya kama mila na tamaduni zetu,ni mtazamo tu lkn.
Regards
Pearl

Naunga mkono hoja!

Hii taarifa imekuwa kama ya dharura. Naona ni vema tungepanga siku ambayo watu wana majukumu machache, kama wikiendi hivi ili kama kawaida ya misiba ya watu wa kule migombani, kapombe kaweze kuhusika pia.

Kwa mara nyingine: RIP Baba yetu!
 
Inaonekana wengi wetu hatukuwa na taarifa hizi....

Pole sana JS, nina imani Mungu amekupigania katika kipindi kigumu na ataendelea kukupigania

Raha ya Milele umpe baba yetu ee bwana...
.

Apumzike kwa Amani. Amina...
 
Thanks Teamo... tuko pamoja sana na natamani ningekua Dar tuwe pamoja.... Nikipata nauli ntafika dar wikendi:amen:
 
Naunga mkono hoja!

Hii taarifa imekuwa kama ya dharura. Naona ni vema tungepanga siku ambayo watu wana majukumu machache, kama wikiendi hivi ili kama kawaida ya misiba ya watu wa kule migombani, kapombe kaweze kuhusika pia.

Kwa mara nyingine: RIP Baba yetu!

Babu shkang
 
Thanks swahiba... mimi pia naunga mkono hoja ya siku mbadala tena ikiwezekana wikendi.... kwani nina imani (inshallah) nitakua nimepata nauli
 
hoja yenu ya weekend haitawezekana kwakuwa sisi tumeshamalert js aje leo,na pia tunawashauri asprin,pearl na mtm mkubaliane na ''GHARAMA YA demokrasia'' kwamba wengi wape.wengi wenu wamekubaliana tukutane leo,lakini pia kutakuwa na nafasi zenu (kama ilivyokuwa MEMKWA) ya kumuona js kwa muda mwingine....afterall ninyi wote js ni mtu wenu wa karibu

SAMAHANI KWA KUWAKWAZA KIDOGO lakini ndio gharama ya demokrasia hiyo.....!
 
aisee maty hapo juu tafadhali zingatia protokali za kuhani msiba....!usijisahau ukadhani tupo fairway
 
hoja yenu ya weekend haitawezekana kwakuwa sisi tumeshamalert js aje leo,na pia tunawashauri asprin,pearl na mtm mkubaliane na ''gharama ya demokrasia'' kwamba wengi wape.wengi wenu wamekubaliana tukutane leo,lakini pia kutakuwa na nafasi zenu (kama ilivyokuwa memkwa) ya kumuona js kwa muda mwingine....afterall ninyi wote js ni mtu wenu wa karibu

samahani kwa kuwakwaza kidogo lakini ndio gharama ya demokrasia hiyo.....!
nimekuelewa teamo na sina shaka mtatuwakilisha vyema... Lile lilikua ombi tu lakini kwa ujumla wake ni vizuri muendelee kama tayari ameshapewa taarifa
 
nimekuelewa teamo na sina shaka mtatuwakilisha vyema... Lile lilikua ombi tu lakini kwa ujumla wake ni vizuri muendelee kama tayari ameshapewa taarifa

ahsante sana bradha....!
unajua wakati mwingine maisha lazima yaendelee

jumamosi tukutane kwa ajili ya ile project...
halafu hebu ni tumie gmail account yako
 
Teamo,
Sawa Asante kwa taaharifa,lkn ombi tu ni vzr next time hata taaharifa ya kukutana pia itolewe atlest a day before,taharifa hii ningepanga jana leo ningeluwa na nafasi nzuri ya kujumika nanyi,yote ni vema Mungu awatie nanyi nguvu na maneno ya hekima na busara,tunajua sisi tulimpenda lkn yeye kampenda zaidi.Jioni Njema na uwakilishi mwema.

Back
Top Bottom