Taarifa ya kifo cha wazazi wangu

Pole sana mkuu na Mungu azilaze roho za marahemu mahala pema peponi...Ameni
 
Pole sana mkuu, Mwenyezi akupe nguvu wakati wa kipindi hiki kigumu. Tunawaombea marehemu wapumzike kwa amani peponi. Amina.
 
Pole sana mkuu, hili ni pigo kubwa sana katika familia na Mungu akupe nguvu wakati huu mgumu nha huko mbeleni.

Naomba Mungu hao majambazi wakamtwe hili waadhibiwe.Kuiba waibe na kuua juu, huu ni unyama mkubwa sana.

Mwenyezi Mungu alaze roho za marehemu pahali pema peponi.
 
Pole sana kwa yaliyokufika, Mwenyezi Mungu awalaze wazazi mahali pema peponi.....Amen!
 
POLE SANA KAMANDA WE2! Na MUNGU akupe nguvu kwny hiki kipindi cha majonzi mazito Kamanda.
 
Inasikitisha kusikia habari kama hizi, pole sana ndugu yangu.
 
Mkuu pole sana. Mungu akutie nguvu na akupe hekima zaidi ya kukabiliana na yaliokukuta.
 
Ndugu wa JF, Salaam,

Nasikitika kuwafahamisha kuwa wazazi wangu usiku wa kuamkia tarehe 2 May 2011 walivamiwa na majambazi wasiojulikana WAKAWAUA WAZAZI wangu wote kwa kuwachoma visu huko Muganza, Rulenge, Ngara.

Nimasikitiko makubwa sana.
pole sana ndugu,na Mungu akupe ujasili na uvumilivu katika kipindi hiki kigumu ulichonacho kongozi
 
Ndugu wa JF, Salaam,

Nasikitika kuwafahamisha kuwa wazazi wangu usiku wa kuamkia tarehe 2 May 2011 walivamiwa na majambazi wasiojulikana WAKAWAUA WAZAZI wangu wote kwa kuwachoma visu huko Muganza, Rulenge, Ngara.

Nimasikitiko makubwa sana.

Pole sana.Mungu akupe ujasiri.
 
Ndugu wa JF, Salaam,

Nasikitika kuwafahamisha kuwa wazazi wangu usiku wa kuamkia tarehe 2 May 2011 walivamiwa na majambazi wasiojulikana WAKAWAUA WAZAZI wangu wote kwa kuwachoma visu huko Muganza, Rulenge, Ngara.

Nimasikitiko makubwa sana.

Kazi ya Mungu haina makosa:

Kiongozi tunakuombea uwe jasiri katika kipindi hiki kigumu cha kuondokewa na wazazi wapendwa. pole sana kwakweli.
Jina la bwana liimidiwe.
 
Pole sana mkuu, haya si mapenzi ya Mungu bali unyama wa binadamu. Pole sana kumbe ndo ni wazazi wako? kuna jamaa alinibrief kuhusu hivyo vifo!
 
dah habari mbaya na ya kusikitisha sana , hii Mungu aziweke roho za wazazi hawa mahala pema peponi, na akufariji mfiwa!ndio maana mie naunga mkono wale wote ambao wanachoma moto wezi, vibaka na majambazi!
 
Ooh! Jamani
Pole sana, Mungu awatie nguvu.
Inasikitisha sana mtu kukatisha uhai wa mwenzake .
 
Ndugu wa JF, Salaam,

Nasikitika kuwafahamisha kuwa wazazi wangu usiku wa kuamkia tarehe 2 May 2011 walivamiwa na majambazi wasiojulikana WAKAWAUA WAZAZI wangu wote kwa kuwachoma visu huko Muganza, Rulenge, Ngara.

Nimasikitiko makubwa sana.

Pole sana mkuu. Mungu akutie nguvu
 
Back
Top Bottom