POle Sana. Kwa ufukara wetu tuna mambo mengi sana na actualy ya kutosha kutuua. Nadhani hatuhitaji tena majambazi kuongezeka kwenye hizo shida zetu. Jamani tuache uovu. maisha yenyewe tayari yanatuexpose kwenye risk nyingi sana. Pole Sana ndugu yangu. Mungu awapokee wazazi wetu peponi. Amina.
Pole sana mpendwa, so sad ,watu wamebaki wanyama tu hasa huku mitaa ya mipakani. Mungu wetu aliye hai akupe nguvu na faraja wewe na familia katika kipindi hiki kigumu.
nasikitika kuwafahamisha kuwa wazazi wangu usiku wa kuamkia tarehe 2 may 2011 walivamiwa na majambazi wasiojulikana wakawaua wazazi wangu wote kwa kuwachoma visu huko muganza, rulenge, ngara.
Nimekanganyikiwa na taarifa hizi, na sina kauli tena!!:A S-rose:
Broda, pole sana ndugu yangu!
Mungu awasimamie katika shughuli yote ya jambo hili, na awafariji kwa jinsi ya upendo wake!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.