Taarifa ya kifo cha wazazi wangu

duuuu,unyama gani tena huo jamani,hii dunia wapi tunaelekea,ni bora wangeiba kila kitu kama walivyofanya kwangu kuliko kuuwa tena,ama walikuwa na lao jambo?

Pole sana mkuu,mungu ametowa n apia ametwaaaa jina la bwana liabudiwe
ee mungu zilaze rohoo za maremu mahali pema peponi aaaaaamin,na umpe nguvu na ujasiri kijana mwenzetu aweze kusimama imala ktk wakati huu mgumu alio nao

pole sana mkuu
 
mkuu ... pole sana ... katika masikitiko haya na majonzi makubwa mungu akupe nguvu na ujasiri wa kuyakabili yote ....

almighty god rest in eternal piece our loved ones
 
ni huzuni hadi nashindwa ku-imagine sawasawa!

pole sana, Mungu akutie nguvu na akushikeni wafiwa wote kwa mkono wake akuvusheni kila dharuba la dunia hii kwa salama hasa katika kipindi hiki kigumu kwenu

RIP wazazi
 
Sad....
Haya majamaa sijui kama yalizaliwa...
Pole sana mkuu...jipe moyo...adjust maisha...
 
Pole sana Mungu akupe nguvu na awaadhibu wahusika wote wa tukio hilo,pole sana,nawaombea faraja ya kweli toka kwa Mungu wewe na familia yako,
 
OMG,wat!!!!!!!!!!!1watu jamani mbn hatuna huruma na wenzetu?yani tunageuka wanyama hivi hivi,uwiiiiiiiiiiii,cnt hold my tears,pole sana bana ,I knw wat u u feel,Mungu akupe nguvu
 
duh!!! Pole sana. Najua hakuna maneno tunayoweza kusema yakupe moyo, lakini pole sana na tutakukumbuka kwenye sala zetu.
 
POLE sana ndugu! bwana ametoa na bwana ametwaa,,, jina lake lihimidiwe
 
Pole sana Mkuu... Mungu alaze roho za marehemu mahala pema peponi. Kwa yeyote aliyehusika damu yao na iwafuate popote pale walipo mpaka siku mkono wa haki utakapowafikia.



Ndugu wa JF, Salaam,

Nasikitika kuwafahamisha kuwa wazazi wangu usiku wa kuamkia tarehe 2 May 2011 walivamiwa na majambazi wasiojulikana WAKAWAUA WAZAZI wangu wote kwa kuwachoma visu huko Muganza, Rulenge, Ngara.

Nimasikitiko makubwa sana.
 
Pole sana mkuu. Inauma mno. Ni kwa nini binadamu tunazidi kuwa wanyama hivyo? Mungu azilaze roho za marehemu peponi, Amen.
 
Pole sana na poleni wafiwa!Hawakustahili kuuawa kinyama namna hii!!!Naomba hao walishiriki kwenye kitendo hicho cha kinyama wakamatwe na wafikishwe kwenye vyombo vya sheria...
 
Pole saaana.Mungu ni mwema endelea kumwamini yeye hata katika shida,bado yeye anaweza.
 
Back
Top Bottom