Hakikwanza
JF-Expert Member
- Dec 11, 2010
- 4,034
- 1,003
Mwakyembe akifa nadhani ccm mfungashe kilicho chenu Mbeya na muondoke, yaani kwa heri ya kuonana, Hivyo ccm mnakazi ya kukesha kwenye maombi kumwomba Mungu abatilishe makali ya hiyo sumu
Katiba ya nchi inahusu nini hapa? EPA, DOWANS na KAGODA bila Kikwete ungeijua weye? hapo Mwakyembe kawachanganya kishenzi, hivyo ni vitu vitatu tofauti.
Dowans ndio tatizo la Mwakyembe? haya tumuulize mama Kilintoni alikuja kubariki mitambo hiyo hiyo ya Dowans pale Ubungo.
EPA inamuhusu nini Mwakyembe au alikuwa anaijua toka wakati wa Mkapa akakaa kimya?
Kagida sijui Kagoda. Hii ni off limits, wala usiigusie hii, bunge lenyewe linajuwa hii ni nini. Hata Sitta hapo hagusi kabisa, ngoma nzito hiyo.
Mwakyembe kadhurika na akili si mwili pekee.
Achana na huyu Zomba. Eti bila Kikwete tusingejua mambo ya Dowans na EPA? Ni nani aliyetangaza hizo kashfa pale Mwembeyanga?we zombi...no zomba,unatetea au unasifia nini? Bora kusoma michango ya wenzako kuliko kujionyesha ulivyo mp:$
MMJ, pointi "d" ni very valid. Hapo ndipo Dr Mwakyembe alipodhoofika na kutoa nafasi. Kwa kweli alipewa hicho cheo kama chambo!Ngoja niseme kwa juu juu tu kwani tangu taarifa zile za mwanzo zilipokuja 2008 baadhi yetu tumekuwa tukifuatilia kwa karibu sana: Vinzi vimechuja habari kama ifuatavyo so far ambazo Polisi wamepewa ndoana wakainga'ta nzima nzima.
a. Dr. Mwakyembe angekuwa ameshakufa kwani aliyetumika kufikisha hiyo sumu she is dead.
b. Sumu haikupitishwa kwa chakula. Ofisini. The only other option ingekuwa kumfikia nyumbani - it was too risky!
c. Kinachotokea kwenye mwili wa Mwakyembe ni over-reaction ya immune system yako kutoka na foreign substance mwilini. Ana bajhati kubwa kuwa mwili wake ulireact hivyo so aggresively na ipo sababu ya kisayansi (mtu yeyote aliyesoma mambo ya immunology and toxicology anaweza kuelezea nini kinaweza kusababisha immune system kwenda kwenye overdrive)
d. Kosa kubwa la Mwakyembe ni kukubali kupewa Unaibu Waziri - baadhi ya marafiki zake walijua hilo kwa sababu ya ile kanuni ya "keep your friends close but your enemy closer". He was the enemy they needed to keep closer!
e. Anayeamini maelezo ya serikali bila kujiuliza au kuuliza maswali ya kiakili kwa sababu anaona Mwakyembe amepata anachostahili anaweza kujiridhisha lakini ukweli nilioandika mahali pengine bado unasimama.
Cheers!
Mmh huko hatari yaani wanakupa sumu halafu wanakupeleka india ukapate tiba