Taarifa ya daktari wa rais

Nadhani huna sabau ya kunyanyapaa wanoumwa ukimwi. Magonjwa hayachagui wagonjwa; binadamu yeyote anaweza kuugua uganjwa wowote.
Tusifikishane huko!

Nadhani hujanielewa neno nililokuwa nataka kusema mie sikuwa na azma ya kumnyanyapaa mwenye ukimwi wala mafua ya kuku wote ni wagonjwa na kila mtu anaumwa ugonjwa huo na kama umenifahamu vizuri nimemuombea rais afya njema.

Kimsingi ishu ni kwamba miafrika especially sie watanzania hatupendi kuambiwa ukweli au tunapenda kutengeneza majungu na lawama zisizo na msingi. Daktari wa rais keshasema Muheshimiwa yuko fiti. Sasa wengine wanasema huo ni uongo au mara rais ana CD-4 (kama ndio inavyoandikwa) la msingi hizi zote ni fitna na chuki zilizomo ndani ya mioyo ya watu kwani inakukocost nini kumuombea afya njema mkuu wetu wanchi au just kwa vile huendani na policy zake. Vumilia atakuja utakayeendana nae na sio kupiga kelele mara ana umwa hivi mara vile alimradi tu kutia doa kwa kiongozi wa nchi.

Mie sio mpiga debe wala mpiga kampeni wa ccm but waswahili wanasema maskini mpeni haki yake. Mtu ameanguka kwa ajili ya uchovu na mzima basi mwacheni aendelee na shughuli ya kuongoza nchi na sio kukaa mkazungumza mie naona anaumwa hiki mara kile tuzungumze vitu vya msingi mfano BOT wanaunganisha vyeo viwili vya gavana na chairman wa board BOT serikali ndio juzi imeona umuhimu wa kuvitenganisha baada ya madudu haya je wale waliokwisha iba wafanyiwe nini!!! na sio kudiscuss afya ya rais
 
Wakuu
Nimesoma halfway nikaona siasa zimeanza. Taarifa gani ndefu kama diagnosis ya kutaka kubadili organ?? Mitanzania bwana, afya siasa, kilimo siasa, maisha siasa, elimu siasa, utamaduni siasa, uchumi siasa hivyo basi nahitimisha kuwa mitanzania yoote miansiasa blah blah kibao
Daktari alitakiwa kusema sentensi fupi chache zenye maana, kwani huyo Mfisi aliambiwa watanzania ni medical school? aaaaaaaaaaaaggggggggggggggrrrrrrrr!!!!!!
 
Hata Mengi nilisikiaga ana mdudu tokea mwaka '94 lakini huyo bado anapeta tu...

Mijitu kwa ku speculate afya za watu tu...aaarrrggh

Huyu mdudu anaweza kukaa kwa mtu hata miaka 20 na bado mtu anadunda.
 
Kifupi raisi wetu ni mgonjwa hizi zingine ni porojo!

kama huyu mfisi anabisha sisi watatoa hela yetu tumpime afya rais ,,maana vipimo vyao vinatoa majibu ya uongo.we mtu anaanguka anguka tu baadaye mnasema haumwi.Mbona mugabe hajawai kuanguka an uzee wote ule..Jangwani alipoanguka mkasema ooh kachoka na kampeni na alikuwa amefunga for 40 days,haya juzi mwanza mnasema eti uchovu ,mi babu yenu mbona nachoka sana lakini sijawai kuanguka..muulizeni bibi yenu
 
Kuna mchangiaji hapo awali alisema huenda Kikwete ni mfanya kazi sana kuliko maraisi wote....ndo maana anachoka kupoteza kumbu kumbu na kupinda shingo na kuzima!
 
Jamani mambo mengine ni kumdhalilisha Raisi wenu kwa kweli, nyie mmeshafafanuliwa na hiyo report ya madaktari sasa mnachoendelea kukitafuta ni nini?? Kwani mkiambiwa anasumbuliwa na maradhi haya then what next? mbona hamna shukurani jamani?? Raisi yupo vyema anafanya kazi zake kama kawaida hata kama ana maradhi mengine si jukumu lenu kujua, kwani hapa JF ni wangapi wenu mnamaradhi mfano:- BUSHA, KIFUA KIKUU, UMALAYA mbona hakuna anayewatafuta kujua maradhi mliyonayo?? iweje iwe nongwa kwa mheshimiwa Raisi?? hebu geukeni bwana zingatieni mambo mengine haya mengine hayana maslahi kwa Taifa
 
Kuna machangiaji hapo awali alisema huenda Kikwete ni mfanya kazi sana kuliko maraisi wote....ndo maana anachoka kupoteza kumbu kumbu na kupinda shingo na kuzima!

Mkuu
JK ana kazi binafsi nyingi zenye tija kwake binafsi ndizo zinamchosha, kazi za Watanzania wala hazimchoshi kihivyo. Tena 'mitanzania' hii ya Nyerere wala haichoshi kuongoza. Apunguze kona kona(si aache kwani kwa hulka yake hawezi), umri umesonga nao, miaka 59 si haba
 
Jamani mambo mengine ni kumdhalilisha Raisi wenu kwa kweli, nyie mmeshafafanuliwa na hiyo report ya madaktari sasa mnachoendelea kukitafuta ni nini?? Kwani mkiambiwa anasumbuliwa na maradhi haya then what next? mbona hamna shukurani jamani?? Raisi yupo vyema anafanya kazi zake kama kawaida hata kama ana maradhi mengine si jukumu lenu kujua, kwani hapa JF ni wangapi wenu mnamaradhi mfano:- BUSHA, KIFUA KIKUU, UMALAYA mbona hakuna anayewatafuta kujua maradhi mliyonayo?? iweje iwe nongwa kwa mheshimiwa Raisi?? hebu geukeni bwana zingatieni mambo mengine haya mengine hayana maslahi kwa Taifa

khee hivi UMALAYA ni ugonjwa..
 
Acha kunyanyapaa wanajamvi ndugu, maelezo yafuatayo ya Daktari wa Rais yanajitosheleza kuwapa wanajamvi haki ya kuongelea swala hili:

Naelewa fika kuwa kutokana na kiapo changu cha udaktari na maadili yangu ya kazi siruhusiwi kutoa hadharani undani wa habari yoyote inayohusu mgonjwa ninayemtibu bila ridhaa yake.

Hata hivyo, kwa kuwa huyo ni Rais wa nchi, na suala la afya yake ni kwa maslahi ya taifa na umma wa Watanzania kwa jumla, na kwa kuwa yeye ameridhia kutolewa kwa habari za afya yake ili watu wajue ukweli na kuondoa hofu, nimeamua kufanya hivyo.
 
Rais amefanyiwa colonoscopy mwaka 2007, mnatuambia leo !!???
Kwa kawaida Rais anapofanyiwa kipimo kama hiki inabidi itangazwe promptly,
- kwanza kwa sababu ninavyoelewa mimi mgonjwa anakuwa sedated for a few hours, Rais anakuwa hana uwezo wa kuendesha nchi muda huo, sasa who was running the show during those few hours ?
- It also serves the purpose ya kuelimisha wananchi umuhimu wa wao pia kufanya vipimo hivi.

Lakini sisi kila kitu siri tuuu.....

Mkuu hapo umechemka nani kasema colonoscopy ukifanyiwa unakuwa sedated, ni kitendo cha dakika kadhaa na unakuwa macho. kama unataka unajiona utombo wako kwenye screen.....bring facts mkuu!
 
mkuu umetoa mifano sawia..Mugabe anapigwa mikwara kila upande plus viungulia anavopewa na tshivangarai lakini yuko stable anadunda tu .JK engine inatakiwa kufanyiwa overhaul

We Kigogo Mugabe huwa anayumba sana kinachomsaidia huwa kuna jamaa kwa nyuma ambaye huwa hakawii kumpatia balance!

Kuhusu kiongozi wetu ni kweli anaumwa na ripoti ya daktari wake imesema hivyo mimi sioni kwanini watu wanashindwa kuelewa, tumeshaambiwa Mh.Rais aliangukaga zamani akiwa kijana ndo maana bado anasumbuliwa na uti wake wa mgongo!!!

Amani iwe kwenu nawakilisha.
 
teh teh kumbe mkuu wa kay disc za mgongo zimeachan kidogo hahaaaaaaa....na yeye aweke mtu kwa nyuma awe anamdaka akitaka kuanguka
 
Jamani mambo mengine ni kumdhalilisha Raisi wenu kwa kweli, nyie mmeshafafanuliwa na hiyo report ya madaktari sasa mnachoendelea kukitafuta ni nini?? Kwani mkiambiwa anasumbuliwa na maradhi haya then what next? mbona hamna shukurani jamani?? Raisi yupo vyema anafanya kazi zake kama kawaida hata kama ana maradhi mengine si jukumu lenu kujua, kwani hapa JF ni wangapi wenu mnamaradhi mfano:- BUSHA, KIFUA KIKUU, UMALAYA mbona hakuna anayewatafuta kujua maradhi mliyonayo?? iweje iwe nongwa kwa mheshimiwa Raisi?? hebu geukeni bwana zingatieni mambo mengine haya mengine hayana maslahi kwa Taifa

Hata mimi nashangaa sana..ila udadisi wangu unanipa kuwa something fishy is about to happen...ogopa sana wagalatia!
 
Hata mimi nashangaa sana..ila udadisi wangu unanipa kuwa something fishy is about to happen...ogopa sana wagalatia!
ovyooo.rais kifafa tupu mnataka tusiseme kisa wimbo wenu wa sisi tumeonewa sana toka uhuru
 
ovyooo.rais kifafa tupu mnataka tusiseme kisa wimbo wenu wa sisi tumeonewa sana toka uhuru

Umempatia kweli,

wanapenda kweli kutafuta uchawi kwa kila kitu.

mara tunaonewa na wakristo, mara wanaonewa na wayahudi, yaani wao vilio tu kila sehemu.
 
..bora wangedanganya, tena mapema, kwamba Raisi ana malaria.

..taarifa ni ndefu mno, I almost stopped reading it.

..mwishoni mwa taarifa ndiyo wanatueleza matatizo yanayomsumbua Raisi.
 
..bora wangedanganya, tena mapema, kwamba Raisi ana malaria.

..taarifa ni ndefu mno, I almost stopped reading it.

..mwishoni mwa taarifa ndiyo wanatueleza matatizo yanayomsumbua Raisi.

daahhh kiongozi umetoa wazo safi kweli.ingekuwa short and clear.sasa leo tunaletewa bonge la ripoti mpaka vipimo vya pua na ulimi wa rais uko safi hauna tatizo.mi naona wamfanyie operation waangalie kwa ndani labda kuna vitu anaumwa hawavioni kwa mashine
 
Most people here are overanalysing the issue, some are even forgetting that falling ill is not anyones choice, this things just happens. You might not agree with JK's leadership but making a meal of his health condition just make me wanna puke..I want to ask, how do you live with yourself you people? You are so disgusting!
 
Acha kunyanyapaa wanajamvi ndugu, maelezo yafuatayo ya Daktari wa Rais yanajitosheleza kuwapa wanajamvi haki ya kuongelea swala hili:

SD hanyanyapaliwi mtu hapa hebu we niambie labda ufahamu wangu ni mdogo kiasi, Je ni sahihi kwa watu kuanza kuulizia CD4?? DAMU KUBWA? SIJUI ANA NGOMA, SIJUI KIFAFA, haya mambo ni sahihi?? haya maswali hawawakilishi unyanyapaa? kwangu mimi sioni faida ya maswali haya sana sana ni kumvunjia heshima tu Raisi wetu, nimegundua ugumu wa maisha unatufanya wengi wetu tumaumu huyu Raisi na kusahau kuwa kuna maraisi watatu walishapita na hali ilikuwa hivyo hivyo sasa tusichukulie vigezo vya kutaka kumkashifu Mheshimiwa Rais hata kama ana matatizo hayo mnayoyapandikiza nyinyi sioni kama kuna haja ya kuutangazia uma.
 
teh teh kumbe mkuu wa kay disc za mgongo zimeachan kidogo hahaaaaaaa....na yeye aweke mtu kwa nyuma awe anamdaka akitaka kuanguka

Hayo ndo maneno haswaa umenena! unajua ile disc spea yake huwa haipatikanagi, zaidi zaidi huwa ni kiti cha magurudumu sasa kwa kiongozi haitanoga!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom