Baija Bolobi
JF-Expert Member
- Feb 25, 2009
- 1,093
- 1,726
Jamani ebu tutulize munkari kidogo.
Rais kapima vipimo vyote, vinaonyesha afya yake nzuri.
Lakini kila akisimama kuhutubia anazimika.
Madaktari wa hapa, Ulaya na Marekani wanasema hana tatizo.
Lakini kuzimika kunaendelea. Tufanyeje?
Kuna mkono wa mtu hapa. Lazima wataalam watafutwe. Na wapo ukienda Ikulu utawakuta siku hizi.