Taarifa ya Ajira mpya za waalimu - TAMISEMI

MansaMusa

Senior Member
Sep 11, 2013
103
12
Kutokana na watu wengi kusumbua wizara ya Utumishi kutaka kujua ni lini Ajira zitatoka.

Wizara hiyo imetangaza rasmi kuwa Ajira za Waalimu wa shule za Msingi na Sekondari 2013/2014 zitatangazwa tarehe 13-19 February.

Na kuwasili kwa waalimu katika vituo vya kazi ni Tarehe 01- 10 /03/2014.
Upatapo taarifa hii mjulishe na mwenzako.

Source: Mwananchi newspaper of 03/02/2014
 
Siiamini tena hiyo miwatu mi nasubiria ajira! Najua itakuja kama mvua bila taarifa.
 
Hapa pana utata, "Zitatangazwa tarehe 13-19 February", yaani wiki nzima itakuwa ni kutangaza tu ajira.
- Pia kuna habari ya kwamba, Dar es salaam, Tanga Mjini, na Arusha Mjini ajira hazitotangazwa. Ajira katika maeneo hayo zitatangazwa kwa maombi maalumu
 
Kaka wanapo andika hivyo kwa uelewa wangu mdogo huenda wana maana kati ya tarehe 13 hadi 19 wakiweka interval. Kuripoti ni kati ya tarehe 1 hadi 10, maana yake ndani ya hizo siku awe amelipoti. Kwa kiingereza ni within 13-19 and 1-10 respectively.
 
Kwanini mtu asitulie akapanga mambo yake binafsi kabla ya kuelekea kwenye ajira? Unapesa ya kuanzia kama milion 1? Umejipangaje na familia yako kama utatupwa mtwara kutoka Rombo kilimanjaro? Ukifika kule kama hujaoa au kuolewa utafanyaje? Kuna changamoto mob sana hujazielewa. Ndo maana watu wengi utawakuta wanapata kazi wanashindwa kununua hata godoro la kuanzia na jiko. Jamani watu tujipange kwa kadiri ya mda ambao wizara imetupatia. Tusisubiri sana. Kwanza kazi yenyewe ni mawazo ile mbaya hujajua. Kama uongo reply.
 
Wewe mwalimu njaa itakuua .

we ---- mbona unakuwa nuksi na mchawi, hupendi maendeleo ya wenzako, roho inakuuma kuiona hii habar eeh? nazifatilia sana coments zako ni za kimajungumajungu 2 dhidi dhidi ya walimu tarajali, km ww upo kitaa hujapata kazi uctake wenzako wawe km ww. Unakuwa km shoga utaolewa, we endelea 2 na tabia yako hiyo.
 
Kutokana na watu wengi kusumbua wizara ya Utumishi kutaka kujua ni lini Ajira zitatoka.

Wizara hiyo imetangaza rasmi kuwa Ajira za Waalimu wa shule za Msingi na Sekondari 2013/2014 zitatangazwa tarehe 13-19 February.

Na kuwasili kwa waalimu katika vituo vya kazi ni Tarehe 01- 10 /03/2014.
Upatapo taarifa hii mjulishe na mwenzako.

Source: Mwananchi newspaper of 03/02/2014

Kaka mleta mada mimi ninalo hilo gazeti la mwananchi la tarehe 3/2/2014 lakini sijaiona hiyo habari naomba uniambie iko ukurasa wa ngapi? Samahani kwa usumbufu nataka kujirizisha tu.
 
Kwel mkuu hakuna taarifa hii kwenye hili gazeti' mleta mada anadanganya umma'
 
Hapa pana utata, "Zitatangazwa tarehe 13-19 February", yaani wiki nzima itakuwa ni kutangaza tu ajira.
- Pia kuna habari ya kwamba, Dar es salaam, Tanga Mjini, na Arusha Mjini ajira hazitotangazwa. Ajira katika maeneo hayo zitatangazwa kwa maombi maalumu

Teeh teeh teeh....hadi uoneshe kadi ya CCM ndo unapata baua ya ajira....!
 
Kwel mkuu hakuna taarifa hii kwenye hili gazeti' mleta mada anadanganya umma'

Kama atakuwa amesema uongo atakuwa amekosea maana watu wamenunua magazeti kwa lengo la kuwapa watu taarifa yenye uhakika. Hivyo si ustaarabu kabisa. Pia amesisitiza tuwajurishe na wengine sasa usomi gani huu jamani!
 
Hakuna taarifa hiyo kwenye gazeti la Jana wala la Leo '
 
Iliitisha press conference au imeweka kwenye tovuti???
Kutokana na watu wengi kusumbua wizara ya Utumishi kutaka kujua ni lini Ajira zitatoka.

Wizara hiyo imetangaza rasmi kuwa Ajira za Waalimu wa shule za Msingi na Sekondari 2013/2014 zitatangazwa tarehe 13-19 February.

Na kuwasili kwa waalimu katika vituo vya kazi ni Tarehe 01- 10 /03/2014.
Upatapo taarifa hii mjulishe na mwenzako.

Source: Mwananchi newspaper of 03/02/2014
 
Iliitisha press conference au imeweka kwenye tovuti yake???

Halafu Utumishi itajibuje maswali aliyopaswa kujibu Mh. wa TAMISEMI ambaye ndiye aliyedanganya umma kuwa zitatangazwa Januari???

Back
Top Bottom