Mfamaji
JF-Expert Member
- Nov 6, 2007
- 6,631
- 1,926
of course hawana ugomvi na nchi yao isipokuwa pale watakapoona maslahi yao yanatishiwa. Wao tatizo la BoT haliwaumi, Richmond haiwahumi, IPTL haiwahumi, Rada haiwahumi, n.k It is Friday!!! Hivyo vyote haviwahumi na hawatavipigia kelele au kuandamana kwa sababu havitishii maslahi yao. Wenye ugomvi na nchi yao wanaonekana na hawachagui chanzo!!
Mzee point. mi nashangaa wabongo njaa kibao, ufisadi kila kona , then mnapoteza muda kuandamana kumpinga Bush asije Bongo. Andamaneni kuhusu BoT , IPTL huduma duni za afya , shule nk. Jiangalieni kwanza umasikini wenu kabla ya kupambana na US President.Mkitaka kuona alivyo powerful angalieni maisha ya Dar kuanzia kesho hadi aondoke. Mimi nasema aje akipenda akae hata mwezi kama Jk alivyokaa kwake .Ebo