Du kwa kweli madaktari mbarikiwe na bwana aliye hai kwa kuonyesha uzalendo wa kuwajari wahanga wa jambo hili, tena huu uzi(thread) naomba kama kuna daktari yeyote asijihusishe katika kujibu hoja yeyote nyinyi kwa sasa mnahitaji kupumzika na kutafakari mambo mawili matatu, unajua katika huu ulimwengu hakuna field ambayo more respectable kama doctors ila tu hapa tanzania wanaleta utani, hapa nimeona kuna watu sijui wametumwa badala ya kuwapongeza madaktari wao wanadhihaki/tania/leta dharau kwa madaktari hakika hao ni wajinga, kuna msemo mmoja wa kizungu unasema "don't argue with fool people may not notice the difference", na life comes to end when you remain silent for the things that matters. Kwa kweli nyinyi mmeonyesha ujasiri mmefurukuta mpaka ujumbe umefika safi sana. Kuna idara nyingi zinaumia zimekaa kimya.
Hilo ndio la msingi.... Kuna fani zingine hata ukichua watu wa form six waingie kazini kazi itafanyika sio Doctors. Msicheze na hii fani kabisa. Doctors wakisema hawatoa ushirikiano jamani ni hatari. Nilipata kusikia neno kwa mtu mmoja pale muhimbili kuwa Doctors wakitangaza vita na mtu ni tabu kubwa...... Hapa vita inaenda hadi kwa familia yako na ukumbuke kuwa hawa hawa ndio wako hospitali kubwa binafsi kwa contract. Tusiombe mabaya ila Mponda akiuguu tu hata akienda Regency, TMJ Aga khan nadhani hawa jamaa hawatamsadia. Naona sasa yeye na familia yake ndio wamepata ticket rasmi ya kwenda Indiaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa