Taarifa rasmi ya kusitisha mgomo kutoka chama cha madaktari 10/03/2012

Yes, the real overhaul should start with the doctors, they are the biggest problem.

Postings zako hapa jukwaani zimekuwa zinanifanya nishawishike kuamini huna uwezo wa kufikiri rationally, leo umenithibitishia kuwa. mashaka yangu ni sahihi!
 
madaktari tunatamka wazi kuwa waziri wa afya dr. Haji mponda na naibu wake dr. Lucy nkya ni maadui wa madaktari na sekta ya afya kwa ujumla hapa nchini na tunaahidi kutokuwapa ushirikianao wa aina yoyote wa kibinafsi au wa kiutendaji.

Solidarity forever.
Rais(mat)

[/quote]

nimelipenda hili hitimisho la madaktari, well said well done doctors
 
RIPOTI KWA VYOMBO VYA HABARI.

UTANGULIZI
Baada ya kikao cha madaktari kilichofanyika leo tarehe 10/3/2012. Madaktari nchini kupitia chama cha madaktari Tanzania (MAT), tunapenda kutoa ufafanuzi ufuatao:

... 1. Jamii ielewe kuwa daktari kama binadamu mwingine anayefanya kazi Tanzania ana mahitaji muhimu (basic needs) na mahitaji ya kijamii (social responsibility) na hivyo si chombo cha kufanyia kazi (Machine).

2. Pia Daktari ana haki ya kupata ujira unaomfaa kutokana na kazi anayofanya na ana haki ya kuacha kazi muda wowote iwapo ataona kazi hiyo ya udaktari haimpi ujira wa kutosha na heshima ya kuendesha maisha yake.

3. Pia jamii itambue kuwa daktari anaweza kulazimishwa kurudi kazini lakini hawezi kulazimishwa kufanya kazi. Matokeo ya kulazimishwa yanaweza yasiwe mazuri kwa wale watakao hudumiwa.

4. Jamii itambue kuwa madai na hoja kuu za madaktari ni kwa ajili ya faida ya Watanzania wote,yakiwemo mazingira bora ya kufanya kazi mjini na vijijini, na kuboresha afya za watanzania kwa ujumla. Pia vifaa na dawa ziwepo mahospitalini zinakohitajika.

5. Pia tunawashukuru madaktari wote kwa mshikamano wetu tulioonyesha na tunaomba mshikamano huu uendelee daima.

TAMKO LETU:

JANA TAREHE 9/3/2012, TULIKUTANA NA MH. RAIS WA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MH. DR. JAKAYA MRISHO KIKWETE. TULIMWELEZA HOJA ZETU, AMBAZO ALIZIELEWA NA ALIAHIDI KUZISHUGHULIKIA KIKAMILIFU. TUNA IMANI SANA NA MH. RAIS KWAMBA HATATUANGUSHA.

KUTOKANA NA HILO, TUNAPENDA KUUTANGAZIA UMMA WA WATANZANIA KUWA TUNARUDI KAZINI RASMI KUANZIA LEO TAREHE 10/3/2012, WAKATI MHESHIMIWA RAIS AKISHUGHULIKIA MADAI YETU.

PIA WAKATI MADAI YETU YAKISHUGHUKLIKIWA TUNAPENDA KUSEMA KUWA HATUNA IMANI NA WAZIRI WA AFYA MH. DR. HAJI MPONDA NA MH. DR. LUCY NKYA, NA KUWA TUNAMSIMAMISHA RASMI UANACHAMA WA MAT MH. DR. LUCY NKYA.

MADAKTARI TUNATAMKA WAZI KUWA WAZIRI WA AFYA DR. HAJI MPONDA NA NAIBU WAKE DR. LUCY NKYA NI MAADUI WA MADAKTARI NA SEKTA YA AFYA KWA UJUMLA HAPA NCHINI NA TUNAAHIDI KUTOKUWAPA USHIRIKIANAO WA AINA YOYOTE WA KIBINAFSI AU WA KIUTENDAJI.

SOLIDARITY FOREVER.
RAIS(MAT)

kiufupi mkuu mgomo huo mlichemka ile mbaya, kwani mlikuwa hamjaambiwa kuwa hatoondoshwa pale, majibu ya raisi hayajapingana na ya pinda. Pinda alisema madai ya kuwaondosha waziri na naibu wake yanashughulikiwa na serikali wala hakusema kuwa serikali imesema haitowaondosha pale. Jaziba na ukurupukaji wa kuona kuwa hamkosei ndio imewafanya mchukiwe na jamii, ndio maana hapo kwenye tamko lako umeanza kujitetea kwa jamii. Nyie madaktari ndio mnaoomba rushwa na sio Haji mponda, nyie ndio mnajifanya mko busy tunapokuja kwenye hospitali kupata huduma, nyinyi ndio wengi mnamiliki vituo vya afya,nyinyi ndio mnao kuwa mnawaelekeza wagonjwa wakanunue dawa kwenye farmacy zenu, nyie madaktari ndio mnaotoa mimba, nyie madaktari ndio mnaowauzia wagonjwa damu, yaani jamii ikipima makosa ya Hadji mponda na nyie, yaani nyie ndio mlipaswa kuondoshwa wote ila basi tu, nyie madaktari hamwajibiki vile inavyopaswa kwani mnafanya kazi zaidi ya hospitali moja hali ya kuwa nyie ni waajiliwa wa serikalini na mmesomeshwa bure na serikali, nyie madaktari ndio baadhi yenu huchukua dawa kwenye vituo vya serikali wanakofanyia kazi na kupeleka kwenye vituo vyao wanavyomiliki, sasa nataka mniambie je haya yote na mangine mengi tu mnayajua nyinyi wenyewe,kama yale ya muhimbili,mwananyamala na kungineko mnakojua wenyewe mlikuwa mnayafanya kwa sababu ya Hadji Mponda??? hasa wewe raisi uliyekuwa kinara wa kutangaza migomo nakushauri sana rudi kwa mola wako ukatubu ukweli wa kutubu kwani usidhani Mungu atakuacha ivi ivi kwa yaliyotokana na ujeuri wa cheo hicho. Kila unalolifanya kaka ujue linarekodiwa na mbele za Mungu utaulizwa. Kwahiyo kafanye toba ya kweli. na kama hamkuwa na chuki binafsi kwa waziri basi hamna sababu ya kumchukia ivo vyote kwani kama mnaona kafanya makosa basi jueni kuwa na yeye ni binadamu. ivi nyinyi ni wasafi kiasi gani mpaka mseme hamtotoa ushirikiano wa kibinafsi wala wa kiutendaji? ivi nyie Mungu nanyi akisema hatowasamehe makosa yenu mnayoyatenda kila kukicha mtafanya nini? kama Mungu mwenyewe Muumba wa mbingu na aridhi na vyote vilivyomo anasamahe je iweje nyie, ivi rais wa MAT huo ujeuri hasa unautoa wapi? mrudie Mungu wako ukatubu kwani duniani sisi ni wa kupita tu.
 
Du kwa kweli madaktari mbarikiwe na bwana aliye hai kwa kuonyesha uzalendo wa kuwajari wahanga wa jambo hili, tena huu uzi(thread) naomba kama kuna daktari yeyote asijihusishe katika kujibu hoja yeyote nyinyi kwa sasa mnahitaji kupumzika na kutafakari mambo mawili matatu, unajua katika huu ulimwengu hakuna field ambayo more respectable kama doctors ila tu hapa tanzania wanaleta utani, hapa nimeona kuna watu sijui wametumwa badala ya kuwapongeza madaktari wao wanadhihaki/tania/leta dharau kwa madaktari hakika hao ni wajinga, kuna msemo mmoja wa kizungu unasema "don't argue with fool people may not notice the difference", na life comes to end when you remain silent for the things that matters. Kwa kweli nyinyi mmeonyesha ujasiri mmefurukuta mpaka ujumbe umefika safi sana. Kuna idara nyingi zinaumia zimekaa kimya.
 
Baada ya Gahwa na Juisi za tende, hizo ni ngonjera. Ukweli unabaki kuwa ukweli, madai yenu mliahidiwa pia kushughulikiwa na Pinda na yanashughulikiwa, kwa hilo hamna jipya.

Nyinyi mlikazania Mponda na Nkya wafukuzwe kazi, sasa yamewashinda ngonjera imedilika na kuwa kama watoto wadogo mnakuja eti Nkya kafukuzwa uanachama wa MAD na Mponda na Nkya ni "maadui wa madaktari" "hatuwapi ushirikiano|, Huo ni utoto na ujinga.

Mkubali tu kuwa mliyoyakuta Ikulu hamkuyategemea na yamewanyamazisha na Mponda na Nkya wanadunda kama Waziri na Naibu Waziri. Huyo ndio Jakaya Mrisho Kikwete, kaweza kuwaunganisha Wapemba na Waunguja itakuwa nyinyi?

Umewashuka.

bora wameacha mgomo maana kama ni mishahara kwa muundo wa afya ulivyo na kwa hali ya nchi yetu wanalipwa vizuri kuliko kada nyingine zote. Sijui kwanini UTUMISHI wameshindwa kuliweka hili vizuri. Na kuhusu nani ajiuzulu au asijiuzulu hiyo ni pure politics. Waziri atajiuzulu kwa kauli zake. Madaktari je? Baada ya vifo vilivyotokea wataacha kazi kusafisha nafsi zao?
 
JK ni mtu moja mwenye ushawishi wa hali ya juu ukimsogelea kwa ajili ya majadiliano lazima ataku-Inspire siku zote uwa mnafikia muafaka.

Kweli JK ni msikivu sana kaongea na Madaktari bila Condition ya Dr Mponda na Naibu wake Dr Nkiya, mingine yote kawakubalia.

Watu wasiotakia mema Taifa letu walikuwa wanataka JK atoe amri Madaktari wote wafukuzwe kazi ili mgogoro uwe mkubwa bahati nzuri JK ni mtu makini na msikivu.

Hongera Rais JK.
 
Baada ya Gahwa na Juisi za tende, hizo ni ngonjera. Ukweli unabaki kuwa ukweli, madai yenu mliahidiwa pia kushughulikiwa na Pinda na yanashughulikiwa, kwa hilo hamna jipya.

Nyinyi mlikazania Mponda na Nkya wafukuzwe kazi, sasa yamewashinda ngonjera imedilika na kuwa kama watoto wadogo mnakuja eti Nkya kafukuzwa uanachama wa MAD na Mponda na Nkya ni "maadui wa madaktari" "hatuwapi ushirikiano|, Huo ni utoto na ujinga.

Mkubali tu kuwa mliyoyakuta Ikulu hamkuyategemea na yamewanyamazisha na Mponda na Nkya wanadunda kama Waziri na Naibu Waziri. Huyo ndio Jakaya Mrisho Kikwete, kaweza kuwaunganisha Wapemba na Waunguja itakuwa nyinyi?

Umewashuka.

Hapo kwenye RED kuna point
 
kwa taarifa tu ni kwamba waziri na naibu wake hawana tena nafasi zao....
 
Baada ya Gahwa na Juisi za tende, hizo ni ngonjera. Ukweli unabaki kuwa ukweli, madai yenu mliahidiwa pia kushughulikiwa na Pinda na yanashughulikiwa, kwa hilo hamna jipya.

Nyinyi mlikazania Mponda na Nkya wafukuzwe kazi, sasa yamewashinda ngonjera imedilika na kuwa kama watoto wadogo mnakuja eti Nkya kafukuzwa uanachama wa MAD na Mponda na Nkya ni "maadui wa madaktari" "hatuwapi ushirikiano|, Huo ni utoto na ujinga.

Mkubali tu kuwa mliyoyakuta Ikulu hamkuyategemea na yamewanyamazisha na Mponda na Nkya wanadunda kama Waziri na Naibu Waziri. Huyo ndio Jakaya Mrisho Kikwete, kaweza kuwaunganisha Wapemba na Waunguja itakuwa nyinyi?

Umewashuka.

Umekunywa viroba au Gongo la mavi?
 
Waliomkimbia bungeni walimfuata ikulu wakanywa juice na pilau, nakumbuka kauli ya katibu wao "Eti mweshimiwa rais watu wanasema nilikukimbia... teh teh teheeee...... ".
Waliikataa rasimu ya katiba wakaikubali ikulu.
JK ni mwiba, hoja yao kuu madaktari ilikuwa mponda na nkya wapigwe chini! wamerudi kimyaaaa......
 
Hongereni madaktari kwa kila hatua mliyofanya!! sasa hawa waheshimiwa wanaong'ang'ania inabidi waendelee kukalia hivyo vyeo, lakini watambue huko mbeleni kuna hatari kubwa ya wao kufikishwa kizimbani kwa kosa la kutumia vibaya ofisi za umma pamoja na kutokubali dhana ya uwajibikaji.
 
RIPOTI KWA VYOMBO VYA HABARI.

UTANGULIZI
Baada ya kikao cha madaktari kilichofanyika leo tarehe 10/3/2012. Madaktari nchini kupitia chama cha madaktari Tanzania (MAT), tunapenda kutoa ufafanuzi ufuatao:

... 1. Jamii ielewe kuwa daktari kama binadamu mwingine anayefanya kazi Tanzania ana mahitaji muhimu (basic needs) na mahitaji ya kijamii (social responsibility) na hivyo si chombo cha kufanyia kazi (Machine).

2. Pia Daktari ana haki ya kupata ujira unaomfaa kutokana na kazi anayofanya na ana haki ya kuacha kazi muda wowote iwapo ataona kazi hiyo ya udaktari haimpi ujira wa kutosha na heshima ya kuendesha maisha yake.

3. Pia jamii itambue kuwa daktari anaweza kulazimishwa kurudi kazini lakini hawezi kulazimishwa kufanya kazi. Matokeo ya kulazimishwa yanaweza yasiwe mazuri kwa wale watakao hudumiwa.

4. Jamii itambue kuwa madai na hoja kuu za madaktari ni kwa ajili ya faida ya Watanzania wote,yakiwemo mazingira bora ya kufanya kazi mjini na vijijini, na kuboresha afya za watanzania kwa ujumla. Pia vifaa na dawa ziwepo mahospitalini zinakohitajika.

5. Pia tunawashukuru madaktari wote kwa mshikamano wetu tulioonyesha na tunaomba mshikamano huu uendelee daima.

TAMKO LETU:

JANA TAREHE 9/3/2012, TULIKUTANA NA MH. RAIS WA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MH. DR. JAKAYA MRISHO KIKWETE. TULIMWELEZA HOJA ZETU, AMBAZO ALIZIELEWA NA ALIAHIDI KUZISHUGHULIKIA KIKAMILIFU. TUNA IMANI SANA NA MH. RAIS KWAMBA HATATUANGUSHA.

KUTOKANA NA HILO, TUNAPENDA KUUTANGAZIA UMMA WA WATANZANIA KUWA TUNARUDI KAZINI RASMI KUANZIA LEO TAREHE 10/3/2012, WAKATI MHESHIMIWA RAIS AKISHUGHULIKIA MADAI YETU.

PIA WAKATI MADAI YETU YAKISHUGHUKLIKIWA TUNAPENDA KUSEMA KUWA HATUNA IMANI NA WAZIRI WA AFYA MH. DR. HAJI MPONDA NA MH. DR. LUCY NKYA, NA KUWA TUNAMSIMAMISHA RASMI UANACHAMA WA MAT MH. DR. LUCY NKYA.

MADAKTARI TUNATAMKA WAZI KUWA WAZIRI WA AFYA DR. HAJI MPONDA NA NAIBU WAKE DR. LUCY NKYA NI MAADUI WA MADAKTARI NA SEKTA YA AFYA KWA UJUMLA HAPA NCHINI NA TUNAAHIDI KUTOKUWAPA USHIRIKIANAO WA AINA YOYOTE WA KIBINAFSI AU WA KIUTENDAJI.

SOLIDARITY FOREVER.
RAIS(MAT)

Nimezipenda sana hoja 4 hizo.Hakika japo kuwa mimi ni mtu wa kawaida sana lakini nilikuwa naunga mkono sana mgomo wa madaktari na nimekuwa nikibishana na jamaa zangu wengi kuwa madai haya ni genuine kwa wao na wanaowahudumia.Hizo ni hoja za msingi sana.Sikubalianai kabisa na Jimmy Mdoe, Juma Faraji waliokuwa wanatoa maoni katika ITV na TBC1 kuwaponda madaktari.Hakuna anayefanya kazi kwa kujitolea wote tunahitaji maisha bora.Hadithi za viapo,kujitolea oh mara huduma zimepitwa na wakati.Hongereni sana.
 
hivi ukiambiwa ww mjinga utakataa ....ww waziri wa afya na naibu wako...niwajinga sana!!!! kwani madaktari hawawataki kuwaona....AIBU HIYO....
 
Tamko ndio hilo, na hasira huzioni humo? unauliza nini kisichoeleweka hapo, you do not have even to read between the lines.

Huo ni msisitizo tu. JK kasema akiwaondoa sasa ataonekana amefanya kwa shinikizo na itakuwa imemuweka pabaya yeye kiutawala. Amesema ana mbinu nyingi la kutimiza hilo. Isipokuwa amewaambia hawatakuwepo katika kamati ya majadiliano. Hapo wameandika kisomi zaidi kulinda heshima ya Rais na kama unataka iendelee kulindwa hizo meseji zako za ajabu acha. Utafanya viwekwe hadharani humu.
 
hongereni sana kwani najua hakuna alieshindwa kati yenu! rudini mkaokoe wale wasiokwenda appolllo:lock1:
 
Tuwe waungwana,tusiharibu kwa majadiliano ya kutafuta ushindi na umaarufu.hili swala lina commitment kubwa pande zote.Forum hii inasomwa na maelfu tusitengeneze hisia tusizokuwa na uhakika tuka mislead umma!
 
Baada ya Gahwa na Juisi za tende, hizo ni ngonjera. Ukweli unabaki kuwa ukweli, madai yenu mliahidiwa pia kushughulikiwa na Pinda na yanashughulikiwa, kwa hilo hamna jipya.

Nyinyi mlikazania Mponda na Nkya wafukuzwe kazi, sasa yamewashinda ngonjera imedilika na kuwa kama watoto wadogo mnakuja eti Nkya kafukuzwa uanachama wa MAD na Mponda na Nkya ni "maadui wa madaktari" "hatuwapi ushirikiano|, Huo ni utoto na ujinga.

Mkubali tu kuwa mliyoyakuta Ikulu hamkuyategemea na yamewanyamazisha na Mponda na Nkya wanadunda kama Waziri na Naibu Waziri. Huyo ndio Jakaya Mrisho Kikwete, kaweza kuwaunganisha Wapemba na Waunguja itakuwa nyinyi?

Umewashuka.

ni kama vile viongozi wa chadema walipoalikwa chai na juice pale ikulu na kuhidumiwa na JK basi mpaka leo hatuoni zile kelele tena! hekima itawale kwanza ili tushinde!
 
Back
Top Bottom