Taarifa rasmi toka Arumeru east updates

MPAMBANAJI.COM

JF-Expert Member
Mar 2, 2011
712
331
Salam sana wanaJF, kutokana na umuhimu wa Uchaguzi huu mgogo nani ya Jimbo ya Arumeru Mashariki hadi JUZI JUMATANO hali halisi inaonesha asilimia hado ni 50 by 50 kati ya CHADEMA na ccm.Ila naamini upepo unaweza badilika kwani wiki ijayo ndo ya mashambulizi makali na ndo funga kazi.
Kwa bahati mbaya sasa nipo safarini na ningependa wadau wa hapo Arumeru mtujuze zaidi tafadhali.

Tunaomba taarifa hizo ziwe rasmi tafadhali

Proactive is a focus to me
 
Acha ujinga unatoa habari za jumatano badala ya sasa! Usirudi tena hapa na uchafu huu!
 
Salam sana wanaJF, kutokana na umuhimu wa Uchaguzi huu mgogo nani ya Jimbo ya Arumeru Mashariki hadi JUZI JUMATANO hali halisi inaonesha asilimia hado ni 50 by 50 kati ya CHADEMA na ccm.Ila naamini upepo unaweza badilika kwani wiki ijayo ndo ya mashambulizi makali na ndo funga kazi.
Kwa bahati mbaya sasa nipo safarini na ningependa wadau wa hapo Arumeru mtujuze zaidi tafadhali.

Tunaomba taarifa hizo ziwe rasmi tafadhali

Proactive is a focus to me

Rudi uka edit ili isomeke vizuri tupate kuchangia na utakaporudi utuletee Source ya utafiti wako.
 
Aisee utafiti wa tanzania siyo wa kisayansi ni wa kiwizi na watafiti wengi ni vibaka na vibaraka
 
Taarifa rasmi toka kwa nani sasa..au wewe mwenyewe ni kama nani?...Watu wengine bwana...!!
 
Unachouliza ni sawa lakini, unaonyesha kwamba wewe si mwana jf halisi. Jitahidi kupitiapitia humu jf ile usiendelee kuwa mjinga kwa mambo yaliyo wazi kama ulinyo uliza hapa kwenye uzi wako.
 
Taarifa za hivi zikifikia hatua ya kuitwa rasmi huwa zinakuwa rasmi kutoka kwa mme kwenda kwa mkewe na si kutoka kwa mhuni m1 kuja hapa Jf kwa great thinkers

Kimsingi hatuhitaji taharifa rasmi bali tunahitaji habari muhimu za kinachoendelea Arumeru,sasa rudi Arumeru ukalete hizo tunazozihitaji sisi
 
Huyu jamaa na utafiti wake kiboko, bila shaka ameoteshwa na na wale jamaa wanaowalinda wenzao kwa nguvu za giza.
 
Taarifa za hivi zikifikia hatua ya kuitwa rasmi huwa zinakuwa rasmi kutoka kwa mme kwenda kwa mkewe na si kutoka kwa mhuni m1 kuja hapa Jf kwa great thinkers

Kimsingi hatuhitaji taharifa rasmi bali tunahitaji habari muhimu za kinachoendelea Arumeru,sasa rudi Arumeru ukalete hizo tunazozihitaji sisi

Ndo maana nlikua nakushinda class.Ujinga mtupu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom