Taarifa maalum ya maandalizi ya maandamano ya kupinga muungano wa Tanganyika na Zanzibar

Nitafurahi siku huu muungano ukivunjika sioni faida ya muungano kabisa sana sana Dar inabeba mzigo wa wapemba.WaTanganyika tuandae maandamano ya kupinga muungano.
Ngongo, kauli yako hii ni jinai ya uhaini, ni kosa kubwa na adhabu yake ni capital punishment!. JF nayo itashitakiwa as accomplice before the facts.
Kwa mujibu wa katiba yetu, hata kuwaza tuu kuuvunja muungano, ni jinai ya uhaini.

Pamoja na uhuru mkubwa tulionao humu jukwaani, uhuru huu kwa mujibu wa sheria zetu, ni just a favour na sio right, freedom of expression ina mipaka yake, nawaombeni tusi abuse!. Sheria ya magazeti ya 1976 bado ipo, ila haitumiki, wenyewe wakiamua kuitumia, atakayeteseka sio mimi wala wewe Ngongo maana wengi wetu ni ghosts tui humu, tutamtesa Max!. Please!
 
Muungano ukivunjika tutaingia kwenye matatizo makubwa, lazima Muungano uwepo kwa sasa. Tatizo walioko hawana nia ya dhati kushughulikia matatizo ya muungano, sasa mambo yanavyozidi kuparaganyika wenzetu wanapata nafasi ya kufanya wanachotaka. Hatujui mwisho wake lakini sioni uwezo wa JK kuishikilia nchi isiparaganyike kwa sasa.
Hakuna matatizo yoyote Tanganyika itapata wala hatutahisi kama kuna kitu kimepungua.
 
Back
Top Bottom