Taarifa kwa wasomaji wa gazeti Mwananchi.

Goheki

JF-Expert Member
Aug 23, 2011
448
387
Kuanzia kesho tar 1.2.2012,gazeti la mwananchi litauzwa tshs 800,hii inatokana kupanda gharama za karatasi na umeme.
source.mwananchi ya leo.
 
yaani hata sisi tunaosoma mtandaoni tutalipa 800 pia? aa mimi ntagoma bana silipi mpaka kieleweke!!!
Kuanzia kesho tar 1.2.2012,gazeti la mwananchi litauzwa tshs 800,hii inatokana kupanda gharama za karatasi na umeme.
source.mwananchi ya leo.
 
Kuanzia kesho tar 1.2.2012,gazeti la mwananchi litauzwa tshs 800,hii inatokana kupanda gharama za karatasi na umeme.
source.mwananchi ya leo.

mbona hilo ongezeko halilingani na hali halisi!!?au ndiyo ule msemo wa nchi hii ilishakuwa shamba la bibi!!,wanajidanganya kwa kuona gazeti lao linanunulika sana naamini kuanzia kesho wataona mabadiliko,kwa taarifa mteja wa kwanza kuachana nalo ni mimi ambaye nilikuwa sikosi kulinunua.
 
Ndo tunaanza rasmi kuwalipa dowans tuzo yao, ongezeko la 40% kwenye bei ya umeme, tutegemee kila kitu kupanda bei, lakini mishahara no kupanda, Watanzania tusipoonyesha Jazba na Kuiadhibu serikali tutakuwa tumerogwa, Subiri tuone...
 
Kuanzia kesho tar 1.2.2012,gazeti la mwananchi litauzwa tshs 800,hii inatokana kupanda gharama za karatasi na umeme.
source.mwananchi ya leo.

Habari sio chakula useme lazima nizipate kila siku kwa hiyo kulikosa mwananchi sitapungukiwa na kitu chochote kwani kuna Majira, Nipashe, Mtanzania, Tanzania daima n.k. nitayasoma hayo yanatosha
 
Hilo ni gazeti binafsi na ni biashara na kila mmoja wao ana mbinu zake za kutafuta "income" hawapo hapo kufanya sadaka, wanakuuzia maandiko yao, kuna wengine mbinu yao ni kuingiza pesa zao kivingine na kufanya bei kuwa ndogo, kuna wengine wao hutegemea wayauze machache kwa bei ya juu (targeted market segment), kuna wengine hutegemea wayauze kwa wingi kwa bei ya chini (mass market segment), zote ni mbinu na namna walivyojipanga.

Kama unaweza nunuwa kama huwezi wacha. Uko huru.
 
800???
nazani nitabakia kusoma habari online na kuangalia Tv tu, magazeti nitayaacha
 
500 to 800... Tutasimama wengi kwa wauza magazeti tusome vichwa vya habari tu.

Na tukiizoeazoea hiyo 800 ndo tunapelekwa kwenye 1000 ambalo nadhani ndo lengo, la sivyo hizo 200 tutawaachia sana wauza magazeti.
 
Habari sio chakula useme lazima nizipate kila siku kwa hiyo kulikosa mwananchi sitapungukiwa na kitu chochote kwani kuna Majira, Nipashe, Mtanzania, Tanzania daima n.k. nitayasoma hayo yanatosha

Omba hayo mengine bei isipande.
 
Na tukiizoeazoea hiyo 800 ndo tunapelekwa kwenye 1000 ambalo nadhani ndo lengo, la sivyo hizo 200 tutawaachia sana wauza magazeti.

Huo ndiyo ukweli wenyewe,kipindi kile cha gazeti sh 400 tulikuwa tunawaachia sana hiyo mia mia,na kwa hapa kwa nyie ambao mtaendelea kununua nawashauri muwe mnatembea na chenji kabisa.
 
kila kitu kitapanda hata mishahara itapanda..!

zimbabwe number 2, itakuwa kwenda sokoni lazima uwe na milion moja ndo ufanye shoping
 
dah, sijui wale makaburu pale wataongeza bei kwenye yale maji ya wakubwa
 
hivi tuangalie pia ukweli kwa hapa tz, mfano ukienda na saloon car pale Mlimani City, Shoppers Plaza au hata kariakoo ukiwa serious kutimiza mahitaji ya nyumbani kwa juma moja (kwa familia za kawaida), sio kweli kuwa vitu vya million moja (1m) vinaweza visijae kwenye gari!??

Mzee ukitafakari vizuri hapa ndio ujue tulishapiga hodi kwa Zimbabwe/Somalia na usidhani ni story tena
kila kitu kitapanda hata mishahara itapanda..!

zimbabwe number 2, itakuwa kwenda sokoni lazima uwe na milion moja ndo ufanye shoping
 
Back
Top Bottom