Taarifa kwa wananchi na wafanyakazi wote wa hospitali ya taifa muhimbili

Hilo ni tamko la bodi sio la serikali,kwa mkanganyiko huu kwanini tusiseme maagizo ya bodi ni null and void?.Mumeyakoroga kwa kumjeruhi Dr. Ulimboka ,sasa hata aliyekuwa haukubali mgomo wa madaktari anaanza kuamini kwamba LISEMWALO LIPO KAMA HALIPO.....Oh!poleni sana watoa maamuzi bila kutafakari kwa kina
 
Gabriel Upunda alikua Mganga Mkuu wa Wizara ya Afya kabla ya kustaafu. Hana moral authority ya kuzungumzia matatizo yanayoikumba sekta ya afya. Alishindwa kusaidia wakati wake. Na ameshindwa akiwa ktk Bodi ya Muhimbili. Ni kizazi kile kile kilichoshindwa!
 
ili Document iwe valid sahihi ya mtoa document iwepo! Sasa mbona hakuna signature? Hizo ni propaganda tu hakuna bodi iliyokaa wala nini! SOLIDARITY FOREVER Drs!!!
Hakuna mtu kurudi hiyo J3!

Usidanganye wenzako...!
 
Interns ndiyo madaktari watakaolisaidia taifa letu muda mrefu kutokana na umri wao. Lakini ndio watavutia wadogo zao wengi kusomea fani ya udaktari. Unapoona mkuu wa nchi anashindwa kutatua jambo nyeti kama ili ujue kwamba kama nchi tumeshindwa! Na kama mtu yeyote aliyeshindwa hatujitambui. Hakuna nchi yenye madktari wa ziada. Pengine Cuba. Huwezi pewa madaktari wa bure kuhudumia watu wako. Pengine kama tunaendelea kuuza nchi yetu!

hapo kwenye red karibu hosp zote wanawafukuza interns, hapa narejea kauli ya MR President katika hotuba yake "Kwa madaktari interns, wanahatarisha maisha yao kwani hawatapata cheti cha kudumu wakishiriki mgomo usiokuwa halali. Lazima watafakari sana kwa hayo wafanyayo"...
 
Hvi inakuwaje wanachukua hatua wakati kesi ipo mahakamani?
Si wasubiri uamuzi wa mahakama?

Uamuzi gani tena unaoutaka na ikiwa serikali ya CCM yenyewe ni mahakama tosha. Wanatoa hukumu ya kumfunga mtu au kumuua pasipo kumsikiliza.


MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Sasa naona hii serikali yetu ya chama cha Sisiem inatumia nguvu kuhusu hili sakata la madaktari. Kweli tutafika namna hii?

Hivi ndio tutafika punda haendi hadi kwa fimbo, JK amewachekea sana mkamuona dhaifu mnasema hawezi kufanya maamuzi magumu. Ngoja muone sasa habari yake.
 

hapo kwenye red karibu hosp zote wanawafukuza interns, hapa narejea kauli ya MR President katika hotuba yake "Kwa madaktari interns, wanahatarisha maisha yao kwani hawatapata cheti cha kudumu wakishiriki mgomo usiokuwa halali. Lazima watafakari sana kwa hayo wafanyayo"...

"Mtu mzima hatishiwi nyau"

Hivyo ni vitisho ili waogope kuendelea na mgomo katika kudai haki yao na ya wananchi walalahoi.


Wao Serikali kama wana ujeuri wawafukuze kwanini wanasema maneno kama hayo.

Yaani ni sawa na mtu kumwambia mke wako kuwa "usipofanya hivi na kuendelea kufanya hivyo nitakupa Talaka".



MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
JK ni failure kwa ustawi wa nchi hii..

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Afadhari madaktari wagome hili kieleweke kuliko kuwaburuza wakafanye kazi. Kutibiwa na Daktari aliyejeruhiwa ni afadhari ukatibiwe na mganga wa kienyeji. Kikwete unajua hilo ? Kaa na watu hawa mpate suruhu , usituletee majeruhi alafu useme umeshinda game , tutakufa zaidi
 
Back
Top Bottom