Livanga
JF-Expert Member
- Apr 15, 2010
- 469
- 148
Napitatu sitasema chochote kwa sasa
We faza fox mbona madhumuni na malengo yamewekwa wazi
We faza fox mbona madhumuni na malengo yamewekwa wazi
Kitu gani ueleweshwe? Au kisa ngeleja anatakiwa kujiuzulu?Mantiki na uwepo wa hayo maandamano ni nini? nimelisoma tamko lakini sijaona ni maandamano hayo ni ya nini? kupinga hayo kwenye katiba? kutaka yabadilishwe? au? nisaidieni
Maandamano ya kueleza ujinga wa CCM unakaribishwa usikose, njoo na chai na vitafunwa vyako, hapatakuwa na Bahasha za JAIRO.Mantiki na uwepo wa hayo maandamano ni nini? nimelisoma tamko lakini sijaona ni maandamano hayo ni ya nini? kupinga hayo kwenye katiba? kutaka yabadilishwe? au? nisaidieni kuelewa.
Mkuu hili nimeliona mapema kabisa wanataka kupima upepo wa watu hapo huyu mama Shellukindo haaminiki kabisa na mpango wake mzima ni kutaka kumcaimpenia ManyweleNionavyo mimi ni kwamba hakuna maandamano hapo.
Hoja Pekee ya kufanyaMaandamano yawepo (haipo wazi kwenye malengo)
- 1 Agosti 2011 ni siku ya kazi - Jumatatu: Ngunguri hawataruhusu
- X Foundation - Simply means No foundation - Sina hakika kama serikali inaweza kutoa usajili kwa shirika kama hili.
- Malengo - Nukuu za katiba tupu: Je haya ni maandamano ya kuhamasisha watu kuijua katiba yao
- Mgeni Rasmi - Beatrice Shellukindo: Atakuwa Bungeni. Hapa amewekwa ili kuongezewa ujiko tu.
- Urais 2015: Mama huyu (Bi Shellukindo) si ndo anayempigia kampeni EL kwa ajili ya urais 2015? Si mbio za urais zimeanza? Inawezekana maana wale mapacha wa CCJ nao wanazunguka - Hii ndo hoja pekee inayoweza kufanya maandamano yakafanyika. URAIS wa EL 2015