Taarifa kwa Vyombo vya habari kutoka IKULU juu ya Katiba Mpya

Hii inayoitwa Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu ....Imekwenda shule kweli? hii ni article mbovu kuwahi kuiona duniani? Mungu Ibariki Tanganyika
Nimepata shida kuamini kuwa imetoka ikulu. Imekaa kama habari ya kawaida katika gazeti. Nafikiri wamekopi na kupesti kutoka kwenye gazeti vinginevyo inawadhalilisha wao na rais
 
Back
Top Bottom