Taarifa kwa Vyombo vya Habari: Hoja ya Kutokuwa na Imani na Waziri Mkuu

You are right there Ndahani.... taratiiibu twaelekea huko. Na tutafika tu! Politics kwangu has never been as interesting as kipingi hiki... Huo uchaguzi nausubiri kwa haaam.



Siasa ikiwa ya mkumbo namna hii inatoa picha kamili ya jinsi gani wawakilishi bungeni wapo kwa ajili ya maslahi yao badala ya Wana nchi... Katika issue nyeti na ilo wazi kabisa kua ni kweli na yahitaji support ya wabunge wengi ilitakiwa CCM wawe hata nusu ya Idadi ya walo sign ili kuonesha Siasa kweli Imekomaa na wabunge kweli wawakilisha wananchi. Of all Wabunge wa CCM zaidi ya 200+ walo sign hawafiki hata wa 5.... Sad. Walau it carries water kua Mkono ka sign... Na inatoa picha hilo azimio halitafanikiwa....

Adui muombee njaa...wabunge na wana siasa wengi njaa zinawatesa. Hawana lolote ndo maana wanashabikia hata yasiyoshabikiwa.
 
Back
Top Bottom