Taarifa kwa vyombo vya habari - CHADEMA yakataa wito wa kamati ya Nchimbi

Serikali inapoteza muda!. Hivi wanamzuga nani?? Hiyo kamati inachunguza nini kisochoeleweka?? Wapuuzi wakubwa hawa. Wanalindana tu.! Na hii kamati haitakuwa na jipya, wanatengeneza movie kama Kova, cjui kama itakuwa na mashiko.
 
Kwenye hiyo 'illigal' kamati kuna watu wawili wamejidhalilisha wao wenyewe na taaluma zao.

1. Mwenyekiti ambaye pia ni jaji mstaafu, nilitegemea angekuwa na utashi/busara ya kumwelimisha Nchimbi kuhusu sheria ya Inquest. Kukubali kula kodi za walalahoi including kodi ya marehemu Daudi Mwangosi kwa madai kuwa "wanatafakari kifo" cha Mwangosi kunatia shaka juu ya majaji wetu.

2. Theophil Makunga. Kufanya kosa si kosa bali kurudia kosa. Ni jambo la kujutiwa kwambwa mtu kama Makunga alikubali kushiriki kwenye hii kamati. Lakini hata baada ya kelele wa wadau mbalimbali, bado Makunga ameona inafaa kuiwakilisha tasnia ya habari kwenye shughuli haram! Hivi Makunga atakuwa tena na moral authority ya kutumia kalamu yake na kukemea ukiukwaji wa sheria? Nafasi ya mwandishi wa habari kama jicho la jamii iko wapi hapa? Yeye mwenyewe conscious yake inamwambia nini?
 
...kwa mtu mwenye hekima na busara ni raisi sana kuilewa nini Chadema wanasimamia na kukipigania...
 
...kwa mtu mwenye hekima na busara ni raisi sana kuilewa nini Chadema wanasimamia na kukipigania...huu ni uamzi sahihi uliotolewa na viongozi makini "HAKUNA KULALA MPAKA KIELEWEKE"...
 
Tuko pamoja makamanda, hawa mafisadi mpaka kijasho kiwatoke na naamini kimeshawatoka. watakoma kulinga. wanadhani wao ndo wana akili kuliko wengine. Mpaka kielewekeeee!!! pioooooooooooz.....pawaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
sidhani kama hilo lilikuwa muhimu sana kuliandika
Kamanda kule kwetu KWA AKINA IWE, ni mambo ya kawaida hata msibani!. Utasikia tutasafirisha mwili wa marehemu kwenda BUKOBA au MULEBA kwa ndege ya kukodi. Hivi sasa tunawasubiri watoto wa marehemu kutoka CANADA anayesoma UFAMASIA, mwingine yuko Ujerumani anachukua PHD, n.k.
 
Kamanda kule kwetu KWA AKINA IWE, ni mambo ya kawaida hata msibani!. Utasikia tutasafirisha mwili wa marehemu kwenda BUKOBA au MULEBA kwa ndege ya kukodi. Hivi sasa tunawasubiri watoto wa marehemu kutoka CANADA anayesoma UFAMASIA, mwingine yuko Ujerumani anachukua PHD, n.k.

Hahahahaha kweli kabisa mkuu, jamaa naye kaamua kudumisha mila
 
hivi kamati hii haingilii uhuru wa mahakama?


KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA

Mkuu kwa kifupi Kamati hii inaingilia Uhuru wa Mahakama kwa kuwa muuaji alishafikishwa Mahakamani huko Iringa, sijui kwa nini Nchimbi halioni hili!
 
Hivi mbona kule Singida alipouwawa yule kada wa CCM hawakuunda tume
bali waliwakamata wana CDM na kuwafungulia mashtaka mara moja?
 
Back
Top Bottom