Taarifa kwa umma:viongozi wapya wa idara ya idara ya wanyamapori

Olaigwanani lang

JF-Expert Member
Apr 26, 2012
541
175
Profesa Alexander Nyangero Songorwa ameteuliwa kuwa Mkurugenzi waIdara ya Wanyamapori (Wildlife Division ) kuziba nafasi iliyokuwa wazi.Kabla ya kuteuliwa Profesa Nyangoro alikuwa Profesa Mshiriki katikaUsimamizi wa Wanyamapori, Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA),Morogoro. Pia ndiye aliyekuwa Mkuu wa Idara hiyo ya Usimamizi waWanyamapori SUA.Wakati huohuo, Profesa Jafari Ramadhani Kideghesho ameteuliwakuwa Mkurugenzi Msaidizi, kuiongoza Sehemu ya Matumizi Endelevu yaWanyamapori (Sustainable Utilisation of Wildlife Section). Kabla ya uteuzihuo Profesa Ramadhani alikuwa Profesa Mshiriki katika Usimamizi waWanyamapori katika Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), Morogoro
 
Best wishes mate wa Kibaha secondary Prof
Jafar Kideghesho! Nenda kafanya Kazi wewe jembe
 
Mh! Kulikuwa na haja kweli ya kuchukua maprofesa waliobobea 2, kutoka idara 1?!?
Mapengo yao yatazibwaje?!?
 
Congrats maprofesa wenzangu. hizi idara za sirikali zimejaa upumbavu mwingi, hope hamtakuwa cheap kiasi cha kujiunga nao katika hizo scandal. tumieni academic rigor ku-question mambo yasiyoleta tija wala hishma kwenu na kwa taifa. sua itawa-miss sana.
 
Back
Top Bottom