Ngongo
JF-Expert Member
- Sep 20, 2008
- 18,892
- 31,094
Ciril nimeainisha mambo mengi naona umekimbilia ni kutembea kwa miguu ?.Jibu Mtu anaruhusiwa kutembea kwa miguu,Mikono na aina yoyote ya usafiri mradi afuate sheria na taratibu zilizopo.
Mkuu usitake kujifanya hujui nilichokiandika.Lema anakuasanya vijana maeneo mbali mbali ya mji wa Arusha mratibu wa hili zoezi ni Diwani wa levolosi wote wanaishia eneo moja mahakamani.Ebu jiulize vijana wa maeneo ya
Kijenge,Mwanama,Sombetini,Njiro,Sanawari,Kaloleni,Levolosi,Matejoo,Kwamromboo,Engutoto,Lemara,Kimandolu,Sokoni,Elerai,Mianzini na nk wote waishie eneo moja Mahakamani halafu kesi ikiahirishwa unawaongoza kwenda kufungua matawi kama hiyo hatoshi wakati wa ufunguzi unaizungumzia kesi yako ambayo iko mahakamani sijui kama unanielewa au unapenda ligi ya ubishani?

Hivi mtu akiamua kutembea kwa kutumia miguu yake atakuwa amevunja sheria?Nnaona ulichoandika ni Kama unataka kuingilia uhuru na haki ya mtu.Wapotoshaji tunawajua,tunawapuuzia na tutazidi kuwapuuzia.