Taarifa kwa Umma-Tamko la J.Nassari kuhusu Tamko la NMC

Huyu dogo mi ni shabiki wake lakini siwezi fumbia macho kauli za kijinga kama ambavyo hata Mbowe hakuacha ujinga ule hivi hivi bila kuukanusha. Tena Mbowe hakuutolea ufafanuzi wa kupotosha kama huyu dogo alivyofanya, yeye aliikemea na kuiita ya kitoto. Dogo badala ya kuomba msamaha arekebishe sio tu kauli yake bali msimamo wake ambao kiukweli ulitoka moyoni mwake yeye anakuja na kauli za kutufanya wote tuliomsikia ni wajinga au hatusikii vizuri au uwezo wetu wa ufahamu ni mdogo. Achunge kauli zake
 
Back
Top Bottom