Mlengo wa Kati
JF-Expert Member
- Feb 16, 2011
- 2,730
- 492
Chadema kwa vile MAT hawajaomba msaada wenu msitake kujiingiza kwa jambo hili ambalo ni la kitaaluma na Wanataaluma! Mna mambo mengi ya siasa na msiwe mda wote watu wa kurukia hoja zisizo wahusu! Najua udenda una watoka sana mlitamani muwe kwenye sakata hili ila jambo hili ni la Kitaaluma zaidi! Vyama na wanasiasa watapita lakini taalum zitaendelea kuwepo! Hapa sio mahali pa porojo na Matamko ya kukuza sifa za viongozi wenu mara Slaa/Mbowe hawa waende kwenye majukwaa ya siasa na sio hili la mgomo wa Madaktari! Hata hivyo mmeandamana sana CDM wananchi wana wajua ebu acheni hili Wana taaluma nao waoneshe uchungu wao wa kupigania haki zao hawataki mawakala/makuadi wa kupigania haki kama ninyi CDM mnavyotaka kudandia hoja kwa mbele!