Taarifa kwa Umma - CHADEMA

Mbwembwe za chadema uchaguzi 2010..poleni..

Baada ya uchaguzi mlete madiwani wangapi? (sehemu zipi) wabunge wangapi (sehemu zipi)..rais sahau muuza pombe na padre hawawezi kuongoza nchi ya watu wenye akili Tanzania poleni...
 
Asante sana kwa pole zako.Tumezipokea kwa mikono miwili.
 
[/B]

Kuwa kwenye nini

chadema imejaa ukabila huo ndiyo ukweli,
Tazama viti maalum ,uongozi nk

Ni chama chenye malengo safi lakini hilo kwao/kwenu ni DOA

Rutunga M come out clean na useme mapungufu kama ulivyo taja.
Doala viti maamlu limesemwa sana na kumbuka Chadema wakati wanakuja hawakuwa na watu na walio kuwa wanashiriki kwa karibu ndiyo waliopata nafasi hizo na hii ni kawaida was impossible kwenda Dodoma kumpata mtu wa viti maalum wakati Chadema haiko Dodoma .

Now kwenye uongozi wa Chadema pambanua ukabila naona wewe ni mgeni hapa na unakuja na hoja ya kujirudia . Umeacha kujadili taarfa ya Chadema nahamia kwenye matusi . Kwa kuwa labda wengine tunaweza tusijue sana hebu tuwekee orodha ya uongozi wa sasa wa Chadema tuchambue ukabila na u Moshi tuone .
 
Wewe ndio unaleta Uchaga hapa, wengine tunaongelea utendaji wa viongozi, wewe unaleta mambo ya Uchaga.

Huyo Mwenyekiti wenu, angelikuwa kocha angeshafukuzwa siku nyingi.

Tatizo lenu mnafikiri JF ndio inawakilisha Watanzania, ikija mwezi wa kumi kipigo, na mnaanza kulialia, kumbe tatizo lenu ni kocha mbovu.

Uongozi gani wa kuahirisha uchaguzi wa vijana na kuweka vibaraka wa Mbowe kwenye madaraka?
Kama JF haiwakilishi watanzania wewe unafanya nini humu.
 
Mbwembwe za chadema uchaguzi 2010..poleni..

Baada ya uchaguzi mlete madiwani wangapi? (sehemu zipi) wabunge wangapi (sehemu zipi)..rais sahau muuza pombe na padre hawawezi kuongoza nchi ya watu wenye akili Tanzania poleni...
Thank you Bye!!!!
 
Why does TOWER OF BABEL come to my mind whenever i think of Tanzania? It's because of people like you

Its a pity that,a matured intellectual like you can't even make an intelligent arguinment
Nowonder Tanzania now is a country where amnesia reigns supreme. a country where thieves and murderers are celebrated and are even forced to rule. A country where bribery and corruption is not seen as unusual and even encouraged going by some of the pipo with the same Mentality Tumain demonstrated here

I respect your freedom of expression but i'll advise you,dont just punch on your keyboards brainlessly and aimlessly.Thanks
 
Niyarudia kusema kwamba ktk muda wa miezi mitano niliyokaa Tanzania nimegundua kuna Wajinga wengi sana....bado wanaabudu na kwa Uadilifu mkubwa Kutawaliwa. Hawafahamu tofauti baina ya Kuongozwa na Kutawaliwa, kwao bora kunakucha..
Wajinga ni wengi sana na itachukua nguvu ya utume kuondosha ULIMBUKENI....
 
Mkuu,hoja yako na mada husika vinauhusiano gani?au umeamua kuchomeka tu hapa?mi sijakupata kabisa.
 
<B>
Chama cha mbumbumbu: M/kiti Mbowe Kafeli masomo O-Level

Katibu: Mchungaji Slaa, kapata cheti kwa kusoma kitabu cha Nabii Paul, Mazumbukuku wanashabikia mpaka Minute za vikao, Chadema nikichekeshooooo !!!
politics its not about what you learn in class,it is beyond ones passion to see a better future over a situation at hand.rafiki unahitaji msasa wa nguvu kuelewa mambo........when it comes to expert issues ndo maana tunawatu wanaitwa washauri wa raisi n.k.....KUFELI MASOMO SIO KUFELI MAISHA,WW MWENZETU UMEFAULU HADI CHUO KIKUU,WHAT DO YOU HAVE??UMEFANIKIWA KUFICHUA MANGAPI YA YANAYOIUMIZA NCHI??</B>
 
Chama cha mbumbumbu: M/kiti Mbowe Kafeli masomo O-Level

Katibu: Mchungaji Slaa, kapata cheti kwa kusoma kitabu cha Nabii Paul, Mazumbukuku wanashabikia mpaka Minute za vikao, Chadema nikichekeshooooo !!!
Mjanja anaficha upumbavu wake, Mkuu Bull wewe umeshindwa kuuficha.

Back
Top Bottom