Taarifa kwa madaktari wote nchini

[h=6]‎"Naelekea nje ya nchi kwa matibabu, nawasihi madaktari wenzangu wanaobaki waendelee na mapambano ya kudai haki ambayo kimsingi bado haijapatikana, nawaomba damu yangu iliyomwagika ikawe chachu na hamasa katika harakati hizi za kudai haki, asanteni sana" ... Dr Steven Ulimboka [/h]Aluta kontinua
 
Taarifa kwa Madaktari wote nchini,


Kamati ya Jumuiya ya madaktari Tanzania inapenda kuwaalika madaktari wote nchini kuhudhuria mkutano mkubwa wa madaktari utakao fanyika siku ya Jumanne tarehe 03/07/2012 kuanzia saa mbili asubuhi katika ukumbi utakaotangazwa baadaye.


Imetolewa na Kamati ya Jumuiya ya Madaktari.


kwisha habari yenu... na mlishazoea kutumia muda wa serilkali kufanya kazi zenu private hosp. big up JK kama hutaki nemda private
 
[h=6]‎"naelekea nje ya nchi kwa matibabu, nawasihi madaktari wenzangu wanaobaki waendelee na mapambano ya kudai haki ambayo kimsingi bado haijapatikana, nawaomba damu yangu iliyomwagika ikawe chachu na hamasa katika harakati hizi za kudai haki, asanteni sana" ... Dr steven ulimboka [/h]aluta kontinua


na mshahara wa mwezi huu msiuombe kwani hamjafanya kazi yoyote kwa wiki mbili. Aisye fanya kazi na asile. Si mwende huko private hospitals au botswana na ulaya mnakotuhadaishia?
 
na mshahara wa mwezi huu msiuombe kwani hamjafanya kazi yoyote kwa wiki mbili. Aisye fanya kazi na asile. Si mwende huko private hospitals au botswana na ulaya mnakotuhadaishia?

Hawana cv za kutosha hawa ndio maana wanang'ang'ania kuwatesa wagonjwa wetu. Kwanza nje huko ukiulizwa kwanini umeacha kazi Tanzania, ukisema "nilikuwa kwenye mgomo", hupewi kazi.

Madaktari wa Kitanzania wenye CV zao za maana wako nje kibao, wako hapa kwenye mashirika ya nje wanakula mifweza sio ya kawaida. Hawa ni wajivuni wachache wanaodanganywa na vikundi vya kijinga. Kwa umbumbumbu wao na wao wanakubali tu kama misukule.

Haya endeleeni na mgomo.
 
Hawana cv za kutosha hawa ndio maana wanang'ang'ania kuwatesa wagonjwa wetu. Kwanza nje huko ukiulizwa kwanini umeacha kazi Tanzania, ukisema "nilikuwa kwenye mgomo", hupewi kazi.

Madaktari wa Kitanzania wenye CV zao za maana wako nje kibao, wako hapa kwenye mashirika ya nje wanakula mifweza sio ya kawaida. Hawa ni wajivuni wachache wanaodanganywa na vikundi vya kijinga. Kwa umbumbumbu wao na wao wanakubali tu kama misukule.

Haya endeleeni na mgomo.

mh!we baba acha umbea!hivi dr kahamba na dr shabani wakigoma pale MOI utabakiwa na nani?mbona mchochezi namna hiyo.
 
mh!we baba acha umbea!hivi dr kahamba na dr shabani wakigoma pale MOI utabakiwa na nani?mbona mchochezi namna hiyo.

Umeisoma hotuba ya Kikwete? ipo humu JF uone kasema nini, kasema asiyetaka mshahara huo asihangaike kubishana na muajiri wake hana hizo aende tu akatafte kazi kwingine. Sasa hapo kuna uchochezi?

Mie najaribu kuwafahamisha kuwa wakienda nje wakisema waliacha kazi kwa ajili ya mgomo, wajuwe hawana kazi, Bora warudi kazini waache kama alivyowashauri Kikwete, la hawataki kazi ni kwao.
 
Dr. Wakirudi kazini watakuwa wamejimaliza na jitihada zao zote utakuwa ni ubatili mtupu. Jinsi jk alivokuwa akiongea kwa kigugumizi haamini ktk alilosema. Fanyeni mass resgnation its now or never!
 
wengine humu tuna wachawi na watu wa roho mbaya angalia hata comment zao,. Madakatari wembe ni huo huo hakuna kurudi nyuma hata mkifukuzwa kwani wamekunyanganya ujuzi wako , hamna cha kupoteza, ni bora ukauza nyanya kuliko kunyanyaswa na utaalamu ambao kwanza kuupata ulijikunja na kuteseka. Hakuna masomo magumu kama yenu na kazi yenu ni riski. Msibabaishwe na bwana Dhaifu kaza buti mtashinda mkilegea tu imekula kwenu
 
[h=6]Wagonjwa wanateseka na wengine kupoteza maisha kwa mgomo huu usiokuwa halali kisheria ambao pia haustahili kuwepo hata kwa mujibu wa maadili ya udaktari. Viongozi wa MAT na wenzao wanawaingiza Madaktari katika mgogoro na Mahakama na waajiri wao isivyostahili. Ni vyema viongozi wa Madaktari na madaktari wakatambua kuwa wanashiriki katika mgomo usiokuwa halali ambao pia kiongozi wao mkuu amekana Mahakamani kuwa hahusiki nao. Madaktari lazima watambue pia kwamba ajira zao wanaziweka hatarini.[/h]
 
[h=6]Mfanyakazi ana kinga ya kutofukuzwa kazi na mwajiri kwa kushiriki mgomo unaokubalika kisheria. Huu siyo. Watapoteza ajira, hawana pa kukimbilia, hawana cha kiwalinda. Kwa madaktari interns, wanahatarisha maisha yao kwani hawatapata cheti cha kudumu wakishiriki mgomo usiokuwa halali. Lazima watafakari sana kwa hayo wafanyayo.[/h]
 
[h=6]Miongoni mwa wafanyakazi wa umma walionufaika na hatua hizo za Serikali ni madaktari na watumishi wa kada nyingine za huduma ya afya. Tena nadiriki kusema madaktari tumewapa upendeleo mkubwa kuliko watumishi wengine wa umma. Upendeleo upo kwenye mafunzo ambapo wanafunzi wa udaktari wanagharimiwa na Serikali kwa asilimia mia moja wakati wanafunzi wenzao wa taaluma nyingine hawako hivyo.[/h]
 
nyie madaktari ni wezi wakubwa wa madawa mahospitali na bado ni wezi wakubwa wa muda serikali.nyie ni mafisadi wakubwa na sasa Kikwete hataki tena ujinga wenu.hicho kikao ni choo tu,rudini kazini au nendeni mnakotaka,nyambaf zenu.watu wanakufa ovyo ovyo wakati nyie mnakula kodi zao,wanyama wakubwa nyie
 
Mungu awabariki na kuwalinda! Naamini hamtatuangusha.Msiogope upuuzi wa serikali ya magamba hivyo fanyeni maamuzi yenye kumkomboa mwananchi masikini siku zijazo.Tanzania tutaijenga wenyewe na siyo Wairan wanaotuibia uranium.
 
nyie madaktari acheni upuuzi wenu,mmeshakuwa sasa.kwanza mnatumiwa na wanasiasa mkidhani hamjulikani.pili nyie mmesomeshwa na kodi za watanzania leo mnawasaliti,natamani na nyie mpate magonhjwa mabaya muonje chungu wahuni nyie
 
Back
Top Bottom