Taarifa kwa Dovutwa Likokola, Mwanamke kuwa na cheo si kipimo cha Ufanisi wake

Jasho la Damu

JF-Expert Member
Mar 10, 2011
956
120
Leo nimemsikia Mhe Devotha Likokola Mbunge(VM) akishabikia Vyeo vya Wanawake hapa Duniani na Tanzania, wakati akichangia bajeti ya wizara ya maendeleo ya jamii. Mhe huyu alianza kwa kuwataja wanawake mbali mbali wenye nyadhifa huku akitamba wanawake hao kuwa wanaweza kuongoza kuliko wanaume. Huku akiwataja wakina Ana Makinda, Rose Migiro ya kuwa ndo mfano bora kwamba wanawake wanaweza kuongoza na kukubalika kuliko wanaume. Napenda nimfahamishe ya kwamba wanawake hao walipata nyadhifa hizo kwa kuzingatia jinsia zao na si kwamba walishindanishwa na wanaume na hata ukiangalia ufanisi wao leo hii huwezi kufananisha uwezo wa Sita alipokuwa Spika na Spika wa sasa Anne makinda. Anasimfia Rose Migiro kuna lipi la ajabu Migiro amefanya. Je kwa hizo nyadhifa walizopata walicompete kweli na wanaume au walipewa kwa kigezo cha kubebwa cha haki sawa kwa wote huku mwanaume akitengwa
 
walipata nyadhifa hizo kwa kuzingatia jinsia zao na si kwamba walishindanishwa na wanaume na hata ukiangalia ufanisi wao leo hii huwezi kufananisha uwezo wa Sita alipokuwa Spika na Spika wa sasa Anne makinda. Anasimfia Rose Migiro kuna lipi la ajabu Migiro amefanya. Je kwa hizo nyadhifa walizopata walicompete kweli na wanaume au walipewa kwa kigezo cha kubebwa cha haki sawa kwa wote huku mwanaume akitengwa.
 
Wamefanya nini hao wanawake aliowataja? Rose Migiro katoa Award kwa Tanzania kwa 'huduma bora za jamii'. Anne Makinda leo ni siku ya saba (see Mwanahalisi 20/7/11) tangu mbunge wa Igunga- Rostam Azizi ajiuzulu lakini akiwa kama Spika Makinda anasema 'hajapata barua'!

Dovutwa sio ndiyo mgembea wa urais aliyekuwa na sera ya kujenga kiwanda cha silaha Temeke? ccm wakiamua kumdhalilisha mtua wanaenda all the way - Dovutwa hana chembe ya heshma kwa jinsi ccm walivyomgeuza cheap kibaraka.
 
Nafikiri kuna tofauti Kati ya Mheshimiwa Dovutwa Likokola (mb) na mwenyekiti Wa UDPDP anayeitwa Fahmi Dovutwa
 
Wamefanya nini hao wanawake aliowataja? Rose Migiro katoa Award kwa Tanzania kwa 'huduma bora za jamii'. Anne Makinda leo ni siku ya saba (see Mwanahalisi 20/7/11) tangu mbunge wa Igunga- Rostam Azizi ajiuzulu lakini akiwa kama Spika Makinda anasema 'hajapata barua'!

Dovutwa sio ndiyo mgembea wa urais aliyekuwa na sera ya kujenga kiwanda cha silaha Temeke? ccm wakiamua kumdhalilisha mtua wanaenda all the way - Dovutwa hana chembe ya heshma kwa jinsi ccm walivyomgeuza cheap kibaraka.

HAKUNA mtu anaitwa Dovutwa Likokola bali DEVOTHA LIKOKOLA ambaye namzimii sana!!!
 
Leo nimemsikia Mhe Dovutwa Likokola Mbunge(VM) akishabikia Vyeo vya Wanawake hapa Duniani na Tanzania, wakati akichangia bajeti ya wizara ya maendeleo ya jamii. Mhe huyu alianza kwa kuwataja wanawake mbali mbali wenye nyadhifa huku akitamba wanawake hao kuwa wanaweza kuongoza kuliko wanaume. Huku akiwataja wakina Ana Makinda, Rose Migiro ya kuwa ndo mfano bora kwamba wanawake wanaweza kuongoza na kukubalika kuliko wanaume. Napenda nimfahamishe ya kwamba wanawake hao walipata nyadhifa hizo. Inaendelea

usikurupuke kuanzisha thread kabla hujawa na uhakika wa majina, katika orodha ya majina ya wabunge hakuna mbunge mwenye jina la Dovutwa Likokola labda kama ulikuwa unamaanisha Devotha Likokola!
 
Leo nimemsikia Mhe Dovutwa Likokola Mbunge(VM) akishabikia Vyeo vya Wanawake hapa Duniani na Tanzania, wakati akichangia bajeti ya wizara ya maendeleo ya jamii. Mhe huyu alianza kwa kuwataja wanawake mbali mbali wenye nyadhifa huku akitamba wanawake hao kuwa wanaweza kuongoza kuliko wanaume. Huku akiwataja wakina Ana Makinda, Rose Migiro ya kuwa ndo mfano bora kwamba wanawake wanaweza kuongoza na kukubalika kuliko wanaume. Napenda nimfahamishe ya kwamba wanawake hao walipata nyadhifa hizo. Inaendelea
sio kosa lake anaupeo kama aliyekuwa mgombea urais 2010 fahim Dovutwa ambae sera yake kuu ilikuwa kujenga kiwanda cha silaha za kisasa pale temeke.
 
HAKUNA mtu anaitwa Dovutwa Likokola bali DEVOTHA LIKOKOLA ambaye namzimii sana!!!
Mmm.. Kweli watu hatufanani?Alivyokta anachangia bajeti ya maendeleo ya jamii hadi niliona anatudhalilisha wanawake na viti maalumu. Alikua anawapa salamu shoga zake kama zile za kwenye vipindi vya taarabu!
 
Back
Top Bottom