Elections 2010 Taarifa kutoka jimbo la bukombe

Lu-ma-ga

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
4,780
3,227
Kuna taarifa kuwa mgombea wa CCM jimbo la bukombe yuko kwenye kashfa kubwa ya kuuza kinyemela eneo la pori la bukombe ambalo linasemekana lina akiba ya dhahabu nyingi kuzidi hata mgodi wa Buzwagi.Taarifa zinasema alishiriki kuuza kinyemela kwa mmoja wa MAFISADI waliotajwa na Dr.Slaa ambaye ni RA .Kwa sasa Luhahula anahaha kulikomboa jimbo ili kashfa isitoke na kumuumbua.Tayari shs.600million zimemwagwa bukombe kwa lengo la kununua mawakala.Na taarifa hizi anazo mgombea wa chadema Prof.Kahigi.Ila taarifa za kutia matumaini ni kwamba wanachi wamesikia na wako ngangari kwa mabadiliko.

Habari hizi zimezagaa sana pale bukombe, tushirikiane kutafuta ukweli zaidi.
 
Duh hiyo kali!! mkuu naimani na hiyo taarifa maana mwaka 2008 nilikuwa Buli na Buzwagi, it was the same stori, Bukombe kuweni macho tuone mwaka huu fisadi atatokea wapi.
 
Tupeni basi habari za Bukombe ili tujue mambo yanavyo kwenda haswa mchuano wa ubunge
 
Unajua kuna majimbo yataishangaza CCM,kwani wao concentration yao ni majimbo kadhaa ambayo yameonyesha resistance ya wazi toka mwanzo lakini I'm told jimbo kama Mbarali, Mbeya Vijijini na Ileje kule Mbeya usually safe havens for CCM yako mbioni kuponyoka anytime kuelekea CHADEMA na sasa ukizingatia maeneo hayo ndiko Dr. Slaa anaenda kufungia kampeni mambo lazima yawe mswano.
 
I hope wapenda amani wote wanaisoma taarifa hii, na wananchi pia wameisikia...kilichobaki ni kuifanyia kazi!
 
Ni kwamba wananchi wako makini sana na wanasema wao walishafanya maamuzi tayari, taarifa positive ni kwamba wanasema kumbe mbunge huyu ni mbinafsi kiasi hiki anauza rasilimali zetu na kutuacha wakimbizi??????????, kwa ujumla kufumuka kwa siri hiyo si salama kwake japo hilo fisadi linataka kuhakikisha soo linazimwa.Lakini hizi ni dalili za kufa kwa nyani WANABUKOMBE TUKO GADO MSIWE NA WASIWASI TUNASUBIRI KUMALIZA MCHEZO NA KULA HAIIBIWI NG'O.

Prof.Kahigi tunamheshimu sana na tunamwanmini.Peopleeeeeeeeeeees
 
Kuna taarifa kuwa mgombea wa CCM jimbo la bukombe yuko kwenye kashfa kubwa ya kuuza kinyemela eneo la pori la bukombe ambalo linasemekana lina akiba ya dhahabu nyingi kuzidi hata mgodi wa Buzwagi.Taarifa zinasema alishiriki kuuza kinyemela kwa mmoja wa MAFISADI waliotajwa na Dr.Slaa ambaye ni RA .Kwa sasa Luhahula anahaha kulikomboa jimbo ili kashfa isitoke na kumuumbua.Tayari shs.600million zimemwagwa bukombe kwa lengo la kununua mawakala.Na taarifa hizi anazo mgombea wa chadema Prof.Kahigi.Ila taarifa za kutia matumaini ni kwamba wanachi wamesikia na wako ngangari kwa mabadiliko.

Habari hizi zimezagaa sana pale bukombe, tushirikiane kutafuta ukweli zaidi.

Makimbo kama Bukombe, Geitana Busanda hayana budi kukombolewa maanake yana raslimali ambazo huwafaidisha mafisadi tu miaka yote
WanaBukombe, komboa jimbo lenu toka kwa Rostam Aziz na vibaraka wake
 
Bukombe hakikisheni hamdanganyiki!!
Mchagueni Prof.Kahigi muone atakavyowashirikisha ktk kuleta maendeleo hapo jimboni.
 
Kama tuhuma hizo ni za kweli basi njia pekee ya kumuazibu bwana huyo ni kwa wananchi wa Bulombe kumpigia kura mgombea wa Chadema, that will be a lesson of the century for those who do not care about national interest.Good bless those who stand for justice
 
Wambieni wananchi wapokee hiyo hela bila kuhoji ila wahakikishe kura yao wanaihamisha kwa mtoa hela na kumpa mpinzani.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom