Taarifa: House girl wa Regia naye afariki dunia!

Tunashukuru kwa taarifa,japo cdhan km una utu..sa chadema imeingiaje apo..kila kitu fitna tu. Huna utu wala ubinadamu...utafkr hujawahi kufiwa...
 
Wengine hata kufa wanashangilia kama ushindi kwa kuiba kura! Njia hiyo si ya mkato. All of us would pass through
 
mola amweke pema peponi
inauma sana lkn kama binadamu
kila nafsi itaonja mauti.
 
Duh!kwa hali hii no life any more to any one!we are all passer by!!RIP mdogo wetu,Rip,rip!
 
Ni pigo kubwa kwa familia kupoteza ndugu wawili kwa mpigo huku wengine wakiwa hospitalini, inauma sana jamani kila nikifikiria maisha haya sipati jibu sawasawa, Wapendwa tumuombe Mungu atupe neema ya kuzijuwa siku zetu ili tufanye yale tunayopaswa kuyakamilisha kabla maisha yetu hayajapeperuka kama mshumaa kwenye upepo, RIP Dada.
 
RIP mdada, umetimiza wajibu wako duniani na Mwenyezi ameamua kukuita kwake
 
inasikitisha sana,mungu awalaze mahali pema peponi.Hivi katika hiyo gari(Landcruiser VX) wangapi walifunga mikanda? je polisi wanasemae kuhusu vyanzo vya vifo,chanzo ni ajali lakini kifo chanzo chake ni nini?
 
poleni wafiwa, mwenyezi mungu awapumzishe kwa amani marehemu wote, pia sisi tuliobaki tujiandae nasi tutafuata,

ujumbe kwa madriver tuwe waangalifu rodini sio unadrive 6 au v8 basi wewe utaki uwe nyuma ya mwenzako. roli sio la kudharau mengine yana cc kubwaa kuliko hiyo v8 likiwa tupu linajiachia kama basi mbaya zaidi magari yetu haya siku hizi (auto) huwezi kukontol icident za ghafla take care
 
Habari yako ni ya majonzi lakini imekaa kimbea sana,umeandika kama umekaa unasuka nywele za twende kilioni,hapo kwenye ''CDM KAZI KWENU'' lengo lako ni nini?

Labda alikua anataka kufananisha na ile "ajali" ya mpiganaji chacha wangwe...!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom