Taarifa: House girl wa Regia naye afariki dunia!

Ukiitwa mchawi sijui utakataa? Chadema kazi kwao kwa sababu wanaunda roho za watu?
Poleni wafiwa
Hiyo ndo shida ya mlio wengi. CDM wanaratibu mazishi ya Regia. Sasa mazishi ya huyu house girl nayo si wanaweza kuyamaliza? Au wewe unaonaje?
 
Andika basi kieleweke............je ni kati ya majeruhi wa ajali au???!!

Halfu unavyoandika utafikiri unashabikia vile.............mhhhh!!!!! Kwenye vifo hakuna vyama,,,,,,,,,kila mmoja kinamsubiri.

Huenda ni gamba ndo wana hivi vijitabia
 
mtoa mada ni dhahiri umetoa ripoti kiubishani au upinzani.

"Cdm kazi kwenu" what did u mean?
Ukweli unainua hasira za wengi humu.
Kazi gani unayoiona ipo kwa cdm? Be a man wewe,matatizo aliumbiwa mwanadamu.
 
Huyo alieleta thread nadhan anamatatizo sio bure!kipindi cha majonzi unaleta habari utadhan umekula kuberi.sasa CDM kaz kwenu maanake nn!!?shwain kabsa
 
May her soul rest in peace. Kipindi hichi cha majonzi ubongo wangu umekufa ganzi nimeishiwa maneno. Nilikuwa nampenda sana dada yangu Regia
 
Back
Top Bottom