Taarifa hizi za mauaji zinafichwa kwa manufaa ya nani?

Ushahidi unahitajika katika hili.

Watu kama ninyi ni hatari kama Ukoma.Unadai ushahidi wakati habari inajitoshereza?Fatilia taarifa hizi huko Dodoma upate ukweli.siajabu wewe ni mmoja ya watu wanaotaka mambo haya yasijulikane katika jamii.

Nimekuwa nikisema Damu yawatanzania inawalilia watawala wa nchi hii,tunaposema nchi hii haitatawalika watu hamuelewi mnadhani ni kwa mapanga na risasi za moto za wanadamu.Nooooooooooooooooooooooo,ni wakati wa Mungu kuwatetea watu wake,anakwenda kushusha mishale na upanga wa moto toka mbinguni na watawala wa nchi hii hawatakuwa na mahala pa kukimbilia.
 
Back
Top Bottom