Taarifa: Ambao majina yao hayajaonekana ajira za ualimu

Tena usije kushangaa jamaa amepangiwa kufundisha kiswahili sasa hizo "cz" "bt" "so nilivyomtel" sipati picha!

Nadhani sasa hivi kwa wasiokuwa na uwezo wa kuwasomesha watoto wao shule binafsi wawafundishe wenyewe tu majumbani.

True mbona hata watoto tunawambia wawambie wazazi wao kuwa si tunazuga malipo ya kishenzi hatuwezi kujituma na kosa ni lao kuchagua serikali legelege
 
Hata akam ni mwalimu wa sayansi kimu ni lazima aweze kuandika kiufasaha na kueleweka! inaelekea wewe pia ni mmoja wao! na wengi wenu mnataka kuchaguliwa mnapewa posho za kwenda vituoni halafu mnaingia mitini!

Mo do not make generalization kwa watu/vitu usivyo vijua. Kwa taasifa yako,Mimi ni wewe kwa kuwa ni wewe unaejiona upo perfect!
 
Back
Top Bottom