Taarabu.....

Kimbweka

JF-Expert Member
Jul 16, 2009
8,597
1,683
Habarini wana JF
Nina swali nimekuwa nikijiuliza sana kuhusu hizi nyimbo za taarabu. Natanguliza samahani kwa ambaye atakwazika na swali hili.
Swali lenyewe ni hili: Kwa nini hizi nyimbo zinaimbwa na watu wa dini moja tu( Islam) ? Kwa nini hakuna waimbaji ambao ni christins? Ukizingantia kuwa huu ni mziki mkongwe sana!!!
 
Mkuu sio (waislam) watu wa dini moja, kuna ambao sio waislam bt wachache sana, ila hzo nyimbo huimbwa sana na watu wa mwambao(pwani) ambao wengi wao ni WASWAHILI, na kawaida ya hawa watu ni kwamba wana maneno sana, ndomana kama ni msikilizaji wa hzo nyimbo utajua kuwa kuna vijimaneno vingi vyakiswahili wanavi2mia...
 
Patricia Hillary - JKT
 
Sawa sawa mkuu
 
Kuna Mkongwe mmoja wa muziki huu alisema kuwa Muziki huu umetoholewa kutoka ktk miziki ya kiarabu hivyo maana ya Taarab ni Tz Arab, Jinsi ya kughani pia hutumia maneno ambayo kuyatamka kwake kwa ufanisi ni mpaka ujue kaswida au lahja za pwani ndio maana watu wa pwani au waliosoma Quran huwa wanamudu zaidi.
 
Back
Top Bottom