Taarab ndani ya JF

Status
Not open for further replies.

Maxence Melo

JF Founder
Feb 10, 2006
4,230
13,415
Kama nilivyoahidi hii leo asubuhi, tumeweza kuwawekeeni taarab chache kwa leo.

Tutaongeza nyingine ifikapo kesho kuweza walau kukidhi mahitaji ya wengi.

Zipate hapa:

Taarab

Ahsanteni.
 
Bora useme wewe maana vicheche hawakawii kudai wengine tunaongopa....

Tokea mkuu alipoweka posti yake kuhusu taarabu; nimecheki katika tarakilishi mbalimbali lakini zote holaa! Tatizo ni la kiufundi hili muheshimiwa...tumuombe mkuu atutatulie ili tuanze kuvinjari...
 
Nimejaribu mkulu,kimya kabisa.Kulikoni?
Wacha utani? Mbona hapa nilipo nazipata vema? Hebu kwenye nav-bar hapo juu kwenye bluu:

Members List | Bongo Flava | Zilipendwa | Injili | Taarab | Calendar

Jaribu kubonyeza Taarab, zikigoma tufahamishane ili tuweze kurekebisha basi.
 
Mwenzangu Maxence Melo embu nihabarishe .. Nsenene na Ndolela ni taarabu pia .. just for info pls
 
Yaani sasa siyo taarab tu mambo yetu yote hayapatikani tena, yaani, zilipendwa, bongo flava kimyaaaaaa.
 
Wacha utani? Mbona hapa nilipo nazipata vema? Hebu kwenye nav-bar hapo juu kwenye bluu:

Members List | Bongo Flava | Zilipendwa | Injili | Taarab | Calendar

Jaribu kubonyeza Taarab, zikigoma tufahamishane ili tuweze kurekebisha basi.


Imegoma wakuu.Kile kidude cha play kinapwita tuuu,hamna sauti wala advancing ya wimbo.Tafadhali rekebisheni.
 
Hapa kwangu zinakung'uta hadi masipika niliyounganisha kidogo yabomoke.Nimepata hiyo ya bwana maringo wa maringo na nimeserereka ile naibuka najikuta niko na budweiser tena nikiwa bwiiiiiii
 
Wacha utani? Mbona hapa nilipo nazipata vema? Hebu kwenye nav-bar hapo juu kwenye bluu:

Members List | Bongo Flava | Zilipendwa | Injili | Taarab | Calendar

Jaribu kubonyeza Taarab, zikigoma tufahamishane ili tuweze kurekebisha basi.

Hata mimi najimwaga hapa
 
Hata mimi najimwaga hapa
Great, kumradhi kwa usumbufu mlioupata, endelea kuburudika.

Hii collection si ya Taarab pekee, tumeiita Taarab kwakuwa nyingi zaidi zitakuwa Taarab na tumeonelea ni vyema na midundo asili ya nyumbani (makabila, miduara, segere, michiriku) ikiunganishwa ndani. Jina Taarab lisiwe tatizo, kama ni tatizo basi tunaomba pendekezo collection hii iitweje.

Invisible
 
Tumeanza na hizi kwa kuanzia:

  1. Acheni majungu
  2. Dereva babili (Kihaya)
  3. Gere
  4. Kanjagala kanje (Sijui kabila gani)
  5. Kinyago cha mpapure
  6. Kinyau-nyau NJENJE
  7. Kubyala (Wasukuma)
  8. Mwanamke Mambo
  9. Nibebeshe UKIMWI nihangaike nao
  10. Nkurukumbi (Wahaya)
  11. Paka Mapepe
  12. Tummogele (Wanyakyusa)
  13. Usione Vyaelea
  14. Viumbe wazito
  15. Zoa Zoa
  16. Fisadi Kiwembe
  17. Hereni (Dogo Mfaume)
  18. Humpati huyo
  19. Kitu na box
  20. Kifo cha mahaba
  21. Kipendacho Roho
  22. Kuku na yai
  23. Linawachoma
  24. Macho yanacheka
  25. Nipe mgongo
  26. Nitadumu nae
  27. Njiwa
  28. Nsenene (Wahaya)
  29. Pwani ya Kiwengwa
  30. Riziki hutoi wewe
  31. Riziki mafungu
  32. Sitaki ushambenga
  33. Subalkheri Mpenzi
  34. Utalijua jiji
  35. WAKEREWE - NDOLELA
  36. Wape wape vidonge
  37. Yarabi iwe salama
  38. Zilipendwa
Bado hazisikiki wakuu?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom