Taa Ya Ajabu

Ndugu zangu kama ni zile taa za crank box mlizoniuzia Mbezi pale mimi nawaombe tu muendelee na mishe zingine. Mimi jamani nilichukuwa moja yaani ni kero tupu. Kwa mfano, wenyewe walizitangaza kwa mbwembwe zote kuwa zinauwezo wa kuwaka hadi saa moja kila zikizungushwa kwa mda wa dakika moja tu hii si kweli kwani ndani ya saa moja unaweza zungusha hata zaidi ya mara tatu.Hii si mashine ya kurahisisha kazi na kuokoa muda ila ni adhabu. Nia yangu siyo kuponda biashara ya huyu mzee lakini pale penye ulazima wa kusema ukweli kwa nia ya kuwasaidia watanzania ili wasiendelee kupewa adhabu sintosita. kwanza nitakuwa nimemsaidia sana ili ajipange aangalie kitu cha kututangazia kwenye mitandao ya kijamii kama hii na mimi siongea tu nimewahi kuuziwa moa ya vifaa vyao hivi. Ushauri wangu tu ni kuwa kama wanazo bidhaa zingine waziweke wazi hapa jamvini tuone ubora :A S 465:tukishawishika tufanye biashara na wala si suala la kupigana kelele kwa masuala madogo kama haya
 
thanx mmmmmmmmmmmuch
 
Mteja asante sana kwa kutoa feedback. Ila pia kumbuka tulikupa warranty ya mwaka mzima ili kama hukuridhika na utendaji wake, urudishe na upatiwe nyingine. Kama mwaka haujaisha, unakaribishwa mkuu. Pia hatukatai kwamba zipo baadhi ambazo uwezo wake wa kuwaka si wa saa nzima. Hilo tumeligundua na tunalifanyia kazi. Mathalan katika kutengeneza kuna baadhi hazikufikia kiwango, hivo basi nachukua nafasi hii kuomba radhi wote walionunua na kutoridhika na utendaji wake. kama bado upo kwenye kipindi cha waranti, ilete na tutakuadilishia.
Asanteni & karibuni.
 
Futikamba nijibu swli mojatu.
Hiyo taa imetengenezwa wapi? made in bongo
nitafarijika hata kujaribu huo uwakala hata kamainakufa baaa ya siku moja.
lakini kama ni nje ya bongo endelea bro.
uchumi wa hii nchi unakufa kwa kasi sana kisa vitu vya ajabuajabu kama hivi.
 
Back
Top Bottom