Taa ya ajabu!!!

Inawaka zaidi ya masaa mawili?
Hiyo zaidi nafikiri ikizidi sana ni matatu.
Baada ya hapo inazimika moja kwa moja au?
 
Inawaka zaidi ya masaa mawili?
Hiyo zaidi nafikiri ikizidi sana ni matatu.
Baada ya hapo inazimika moja kwa moja au?

inabidi ubonyeze bonyeze tena na tena...., zipo aina nyingi za kubonyeza na nyingine za kuzungusha yaani
kama saa unajaza ufunguo alafu inafanya kazi ule ufunguo ukiisha inabidi ujaze tena
 
duh! kweli kufa kufaana, sasa elfu 15,000 ndio bei ya kuuzia au ya kuanzia? hii labda itapunguza punguza machungu ya kukatiwa umeme wiki nzima asubuhi mpaka saa 5 usiku....huku wadanganyika wakiwa kimyaaa.

Mkuu OS,
15,000/= ni bei ya kuuzia.

Karibu
 
je umechoshwa na hali ya sasa ya mgao wa umeme?
Je, vipi kuhusu bei ya mafuta kupanda, haikuumizi? Na
je, vipi kuhusu athari za mshumaa, huziogopi?

Kama majibu yako kwa maswali hayo hapo juu ni ndio, suluhisho lipo. Nalo ni....​
View attachment 22728View attachment 22729


crank box
  • haitumii betri
  • haitumii umeme wa jua
  • haitumii mafuta ya taa/petroli/diseli
  • waranti ya mwaka mmoja kwa mauzo yote
inawaka kwa zaidi ya masaa 2 kwa kubonyeza tu.

Kwa tzs 15,000/= tu! Sahau mgao wa umeme..

Fika dukani kwetu kwa maelezo zaidi.
Tupo mbezi beach - samaki karibia kabisa na kituo cha dalala dala.
Au
tupigie simu: 0653 297681/ 0659 381812.

hapa si mahali pake ndugu yangu...kila mtu akiweka biashara yake kutangaza tutafika kweli.
mods tafadhali angalia uwezekano wa kuondoa matangazo ya biashara kama haya
 
we ushawahi kutumia?
Hapana Husninyo lakini nimeshaona kuna watu wanazo kuna mmoja alinunua Germany na mwingine alitoka nayo Swiss lakini zenyewe ulikuwa haubonyezi bali unazungusha handle alafu zilikuwa more of a torch zaidi ya taa
 
Back
Top Bottom